JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nafungua thread ambayo kupitia hapa kila awezaye atatoa hoja ambayo ukiifanyia utafit ( to prove it... especially simple utafiti) utagundua kuna ukwel kuhusu hicho kitu! Kwa kuanzia; 1...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa kizazi hiki cha leo imekuwa ni fashion kwa vijana kuanza testing ya kuishi kama mke na mume then baada ya kupata mimba ndipo inapowalazimisha kufunga pingu za maisha au kuvunja uhusiano kabisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama demu wako anapenda chips mfungulie kibanda Kama demu wako anakuomba sana pesa mwambie akuvumilie bado unamtafutia kazi bank......kama......
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye maisha ya uswahilini na pwani huwa kuna kashda za Pwani, kwa namna hiyo basi hapa nazungumzia Pwani kwa ujumla maneno ya waswahili wa pwani hunikosha sana na huwa kuntu tena pambee tena...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwalimu aliwaambia wanafunz wajifanye ni wanajeshi walioshirik vita ya Uganda waandke insha isiyopungua maneno 100 kuelezea Vita ilivokuwa. Wakat wa kusahisha mwalimu akakuta mwanafunz mmoja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiona umefungua topic hii ili ujifunze namna ya kutumia vocha za mitandao ya simu iliyotuka ujue wewe ni kati ya wanaopenda vya Bure ila sema haujijui tu. So nimekusaidia ili ujijue kuwa...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
NI STORI YA KWELI ILITOKEA MIAKA YA NYUMA SANA watu walikuwa wakiangalia mwezi mwandamo kwa ajili ya mfungo wa ramadhani,vijana kwa wazee. mara mzee mmoja aliyekuwa anakaribia miaka mia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tunafanya sensa ya madanguro kuanzia banana kuelekea chanika. Mwenye kujua amwagike tafadhali ili tusaidie mabadiliko ya kijamii
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Eti inamaji mengi Mpaka mashahidi wa Yehova wanaogelea!!
2 Reactions
368 Replies
87K Views
A man went for HIV test on Saturday and they told him to come back on Monday to pic his results.On sunday he went to church and the pastor was praying and said "... may the things that you'll...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Mfano, namba zako mbili za mwisho za cm zingekuwa ndo marks zako za MATH'S shule,ungepata ngapi? Usidanganye!!!! Zangu...84!! Andika zako....tuone
0 Reactions
220 Replies
41K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba: Mwanangu mbona umeamka alfajiri kwenda shule, kulikoni? Mtoto: Baba namuwahi mwalimu wa bagia. Baba: Mjinga sana wewe, badala ya kuwahi elimu, wewe unawahi bagia? Mtoto: Baba, unajua...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna naibu waziri mmoja mwanamke kwenye serikali yetu ananivutia sana kwa swaga zake na urembo. Jina la naibu waziri huyo ni Pindi Chana. Basi miye nikajisemea: Hebu ni-google picha yake. Basi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa kiroba-Ni maamuzi magumu. Huna kitanda na unaamua kuoa-Hayo pia ni maamuzi magumu. Huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
habarini naombeni kukaribishwa Mimi mgeni humu ndani
0 Reactions
6 Replies
870 Views
Yani kuna wadada wengi huku Instagram ni kushindana mavazi na picha za kula bata. Mpaka mimi huwa najiuliza hawa huwa wanapata wapi pesa za kufanya starehe kila siku and for how long they will...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mi naanza
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Marekani ilitengeneza mashine ya kukamatia wezi, wakaamua kuifanyia test kiufundi. Mashine ikapelekwa China, baada ya dakika 20 ikakamata wezi 2500. Baada ya hapo ikapelekwa Urusi, ndani ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…