Wadada vs Instagram

Wadada vs Instagram

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Yani kuna wadada wengi huku Instagram ni kushindana mavazi na picha za kula bata. Mpaka mimi huwa najiuliza hawa huwa wanapata wapi pesa za kufanya starehe kila siku and for how long they will keep doing that? Sio wote ila asilimia kubwa wana swaga hizo.
 
Kila mtu na maisha yake.

Kama huwezi ku-cope just leave them out.
 
Yan kuna wadada wengi uku Instagram ni kushindana mavazi na picha Za kula bata .. Mpaka mm huwa naji uliza hawa huwa wanapata wapi pesa Za kufanya starehe kila siku and for how long they will keep doing that ? .. Sio ote ila asilimia kubwa wana swaga izo

Most of them wana Fake life tu, Maisha yao halisi bado wanakula Ugali wa Shikamoo
 
Mengi ni ya kufoji huko, yasikumize kichwa.
 
Ladies akili yao moja kuanzia la nne la saba mpaka phd Holder all the time wanawaza kvp watamtega au kumliwaza mwanaume na urembo included viumbe hawa ni weak sana physically mpaka mentally
 
Waache watutangazie makalio yako tujipigie mzigo wa goti kiulaiiini wao wanaweka picha zenye fake life nasisi tukiwapata tunawapa kazi zetu fake umeneja wa kampuni n.k ili tuwagonge mzigo kiulaini

Alieuza cheni kauza feki na alienunua kalipa hela feki.......mwendo mdundo
 
Hebu angalia yako kwanza Kisha fuata hayo ya wadada
 
kuna wimbo mpya wa ney wamitego. kuna mstari kaimba mademu saiv wanasura ya instagram.
 
Ladies akili yao moja kuanzia la nne la saba mpaka phd Holder all the time wanawaza kvp watamtega au kumliwaza mwanaume na urembo included viumbe hawa ni weak sana physically mpaka mentally

pole sana kwa kuzaliwa na hawa viumbe. Jitahidi usiendeze uzao nao mwishowe watatoa matahaira hawa viumbe wasio na akili. Msalimie mama yako.
 
Ladies akili yao moja kuanzia la nne la saba mpaka phd Holder all the time wanawaza kvp watamtega au kumliwaza mwanaume na urembo included viumbe hawa ni weak sana physically mpaka mentally
Una safari ndefu sana ya kuwafahamu hao viumbe.
 
Never Study about Women cos you will never GRADUATE!
 
Back
Top Bottom