Yalaaa nakufa!

Rays Dinho

Member
Feb 2, 2015
93
95
Mwalimu aliwaambia wanafunz
wajifanye ni wanajeshi
walioshirik vita ya Uganda
waandke insha isiyopungua
maneno 100 kuelezea Vita
ilivokuwa. Wakat wa kusahisha mwalimu akakuta mwanafunz
mmoja kaandika mstari mmoja tu;
"YALAAH NAKUFA" Akamwita
ofisini na kumuuliza kwann
kaandika mstari mmoja na si
Insha?. Mwanafunzi akajibu;
"Ticha yaan mi ile naingia tu vitan
nilipigwa risasi ya kichwa nikafa
hapohapo, sikujua
kilichoendelea" Mwalimu akabaki
hoi. Neno moja kwa mwanafunz....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom