Maongezi ya Pinda na Wassira

Maongezi ya Pinda na Wassira

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,496
Majadiliano kati ya Pinda na Wassira baada ya matokeo;

Pinda: Oya kaka vipi, mbona unasinzia tuuu, tayari huko
Wassira: •0ƒ7•0ƒ7•0ƒ7 Tayari?! Vipi, mzee kapita?

Pinda: Yaani wewe badala ujiulizie wewe unauliza watu wengne?!
Wassira: "9ü9"9ü9"9ü9 kwani mkuu na wewe ulidhani utakuwepo katika tano bora?
Pinda: sasa wewe kama ulijua hutakuwepo ulichukua fomu ya nini?

Wassira: Yaani mimi na wewe hata wangesema watoe 20 bora tusingekuwepo
Pinda: Naona wewe unazingua, sijui bado umelala?

Wassira: Sijalala mkuu "9ü8"9ü8"9ü8 ila sisi tulikuwa tunasindikiza vijana tuu, hatuna sifa
Pinda: "9ü7"9ü7"9ü7 Nawe upigwe tuuu, maana hakuna namna nyingne

Wassira: Haya mkuu niambie kina nani wamepita? Na wewe upo? "9ý6"9ý6"9ý6
Pinda: Niwepo wapi bhana "9þ6"9þ6"9þ6 wamenipita mawaziri wa chini yangu, sijui nilikuwaje mkuu wao

Wassira: •05•05•05 Wewe mzee ulikosea kusema wapigwe tuu, wakajua hutapita wananchi wana hasira. Nitajie, yupo Makamba na nani?
Pinda: Kwanini umemtaja Makamba?
Wassira: Dogo mtamu yule kwani wewe hujui?

Pinda: Ila kweli unajua, lakini mbona Magufuli ana maamuzi magumu kama mimi, kwanini yeye kapita?
Wassira: •0†0 Magufuli yupo nae? Ila yule ana akili sana anajua kila barabara na urefu wake mpaka za kuenda mashambani.

Pinda: Na wewe, mbona kila mmoja unamtetea sasa? •09
Wassira : Sasa nisiongee ukweli?

Pinda: Haya, na huyo Membe ana nini?
Wassira: Huyo si anafuata nyayo za mzee, sasa hujui mzee alikuwa wizara gani kabla ya kuingia mjengoni?

Pinda: •0‚3•0‚3•0‚3 Haya na hawa mademu Asha na Amina nao?
Wassira: "9²4 Hao sasa dharau, yaani wameona sisi wanaume tunazidiwa na wanawake hao? Mzee kazingua hapo.

Pinda: Nilijua na hao utatetea "9ü6"9ü6"9ü6 haya bhana, tubaki kuwa washabiki tuu maana hakuna namna nyingne, tukubali tuuu.

Wassira: Na uniache ni •0ƒ8•0ƒ8•0ƒ8
Pinda: "9Ã3"9Ú2 Kumbe nawe zoba hivyo, acha nikamsapoti Makamba tuuu anipe tena uwaziri "9ü8"9ü8"9ü8"9ü87¥3
 
Back
Top Bottom