MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Mimi ni kijana umri 22 sijaoa, bado nipo chuo.Kuna dada mmoja tuliowahi kuwa wapenzi wakati wa kidato cha pili 2008. Kwangu ilikuwa first love nilimpenda sana japo alinitongoza mwenyewe ilikuwa haipiti siku bila kwenda kwao kifupi nilimzoea sana. Ilitokea kitu nisichokielewa mpaka kesho kwani alinitumia barua kwamba hanitaki tena niliumia sana ila nilizoea baadae na kujiapza kusoma kwa bidii ili nifanikiwe kimaisha na kupata heshima.
Mwaka mmoja uliopita yeye akiwa chuo cha ualimu grade A alinambia amepta mchumba wanaotaraji kuona baada ya kumaliza chuo na hata alikuwa ananitumia sms huku ameweka signature ynye jna la jamaa yke. Lakini baadae nilishangaa amefuta saini ghafla nikajua yamechujuka tayari, kikubwa ninashangaa sasahivi nikiacha kimtafuta kama wiki ananitumia sms kwamba nimemsusa lakini nilikwishamjuza kwamba ninae mwingine. Lakini anaonesha mapenzi tena nifanyeje? Au nimgegede alafu ni mlipe kibuti na machungu aliyonipa kabla, kwani ningeweza fail NECTA form two.
Nawasilisha