JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna kazi ngumu sana aisee zinaitaji uwe na imani zaidi ya nabii kweli unakamata mzigo huu umaupeleka ofisini....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mwenye namba ya mtu anayefanya nguruko annex tangi bovu anipatie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Au ngoja nikaushe tu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Safari ilikuwa ngumu kweli kweli!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilikuwa hivi. Maza: Honey subiri nikuandalie futari ili uwahi huko kikaoni Mkulu: Usihofu baby futari huko huko wala usijali CC imejipanga Maza: Jamani baby kama ni hao 38 si ungempa Wani...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Wanajamvi/chit-chat unapewa nafasi ya uraisi na mamlaka yote ndan ya masaa 24 utaacha heshma gani Bila kuingiza chama chako cha siasa??? sasa kama mm napewa mamlaka kama haya 1.natema mkwara...
0 Reactions
80 Replies
5K Views
Demu akiamua hupati mchezo hupati tu ata ufanye. Mbinu gani hupati, mbinu zao ni za kijasusi ujawahi kuona? Ukimuita move getto anakuja na wenzake wawili, basi mzee utaangalia Move huku umenuna...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Morning is a wonderful blessing, either sunny or stormy. It stands for hope … giving us another start of what we call life. #GoodMorning
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Igwee! wadau, natoka Magomeni naelekea Tegeta, kuna mrembo nipo nipo nae karibu anaperuzi JF, ushauri wenu nimuulize nini?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hebu pitia hiyo picha ucheke.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati niko primary nilikuwa najiuliza hivi mtu huwa inakuwaje mpaka anakuwa masikini yani miaka yote anashindwa kununua hata kagari kweli utoto ni utoto na mtu mzima dawa.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati wewe unajenga, Mwenzako anafikiria kubomoa. TUTAHESHIMIANA TU!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman wanaume wenzang kuen makin xana na kipind hki cha karb na ckukuu kwan ukimtongoza mwanamke ni rahc xana kukubar me nakushaur kwa wakat huu we kuwa mpole tuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakika ukistaajabu ya mcharo utayaona ya Magufulu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Huku kwetu kupata habari ni shida sana hivyo naomba kuuliza, top 5 za CCM watatangaza lini? Na hatua gani waliyofikia? Maana mi na CCM damdam.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
# Mtoto : "Baba kwani mimi nimetoka wapi? # Baba: "dah!! Mwanangu, mbona unaniuliza swali gumu hivyo? Ene Wei hebu kaa hapo nikuhadithie. Mimi na Mama yako siku moja wakati anatoka kazini...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Tusipende kutoa hukumu kwa vitu tusivyovijua. Wakiwa katika garimoshi kuelekea Kigoma jamaa wa karibu miaka 28 akamwambia baba yake Jamaa: Baba angalia miti inavyokimbia kwa kasi sawa naiona...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilikua maeneo ya Ludewa. nikaona nipite kwa sangoma chap chap ili na mimi nikirudi Dar nijenge gorofa Manzese. Masharti niliyopewa yalinishinda. Kwanza kabisa nisiwe na michepuko...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Taratibu bila woga,tuma salamu kwa watangaza nia wote na bila ya kutetemeka,achia booooooonge la ujumbeee.
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Hatimaye walevi wametoa mgombea
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…