JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
(Ow, ow-ow-ow-ow! Ow, ow-ow-ow-ow!) Yeah, yeah, yeah! How can you be sitting there Telling me that you care - That you care? When every time I look around, The people suffer in the suffering In...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
AMRI KUMI ZA KUSHINDA UCHAGUZI 2015 1] Muheshimu mwenyeketi wa NEC kama unavyowaheshimu wazazi. 2] Toa ahadi za uwongo kwani za ukweli hautoaminiwa na watanzania. 3] Mkosoe mwenzako kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yaani kila anayekwenda Dar lazima apige pamba. Raba kali, jeans kali, kadet, suti, tai, simu kuubwa. Kwa wadada lazima aseti nywele mtindo very current and bei pia, lazima ajilipue na ma make...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wakuu! Kiswahili ni lugha inakuwa kwa kasi sana,toka nimepata akili nimekutana na maneno mapya ya lugha hii mengi na mengine yamekuwa mapya kwangu,yapo maneno yamezaliwa nikiwa nashuhudia...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Salaam, Mimi ni Mkenya mzawa wa Nairobi na ningependa sana kuzuru Dar kwa nia ya kujivinjari. Hii itakuwa mara yangu ya kwanza kuzuru Tanzania, na simjui Mtanzania yeyote. Ningependelea sana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni jirani yangu maeneo ya kimara.Jamaa ameoa sema ni mchepukaji balaa.Sasa jumapili wakati tunapata moja moto moja baridi,akaniambia kuwa ameanzisha group la Whatsapp la michepuko yote...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimekula chumvi nyingi sana!! Happy Birthday to me!!!!!
1 Reactions
80 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninawasalimia Ni Nanawaombea Uzima Ili Wote Tuifikie 25 October Tukiwa Wazima
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Raia mmoja mwenye asili ya Kisomali ameua mbu 20 kwa kutumia dawa ya mbu ya rungu.
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Ilikuwa Jumapili moja murua kabisa, wala hakukuwa na mushkeli wowote. Mara tu baada ya kuwahubiria waumini wake, kasisi akasema kuwa alikuwa na tangazo moja maalum. "Kama nilivyowaambia, hili...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi nwenyeji wa arusha na dar sina uzoefu wa kuendesha gari,mara nyingi napanda daladala.Sasa nikapata safari ambazo zinaitaji niendeshe gari na wala sina mwenyeji wa kunielekeza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI DUNIANI. Jamaa mmoja kafiwa na mkewe. Wakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza. Mume mfiwa akamuuliza rafiki yake, Mbona huyu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahisi ndiko tunakoelekea ....................................................
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kalameni mmoja alikuwa na tabia na mazoea ya kumletea mtoto wake ndizi kila akitoka kazini. Mara mtoto alipokuwa anamwona babake getini alikuwa akikimbia na kuchukua mzigo wake bila shaka akijua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anataka kujua shida za WanaJF wote. Kama una shida yoyote weka hapa itamfikia. WanaJF, hii ni zamu yenu kueleza shida zenu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
'Nape akatwa mtama huko Mtama' 'Wasira aonyeshwa hasira Bunda' 'Zungu apatwa na kizunguzungu Ilala' 'Mchange ashindwa kuzichanga Kibaha Mjini' 'Lema aunguruma Arusha Mjini' 'Mnyika ateka...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Oyo oyoo oyoooo Njooni tubonge mastory yani leo sijiskii kulala kabisaaaa ...kama sipo peke angu njooni tukeshe TEAM@popo
0 Reactions
34 Replies
2K Views
MIMI: Hallo nani Braza Nape? NAPE: Ndio MIMI: Edo hapa... sasa bro kuna yule jamaa alikuwa Mbunge Sikonge, Said Nkumba, alihama CCM akaenda CHADEMA amerudi CCM... tumuite Oil chafu, Makapi au...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…