MAMBO YA WANASHERIA:
Baada ya kumaliza Degree yake ya Sheria, Bwana Rwegashora aliamua
kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufung ua ofisi yake kwa ajili ya huduma kwa wateja.
Siku moja akiwa ndani...
Habari zenu,
Wakuu naombeni mnijuze muanzilishi wa Jamii forum na kama inawezekana nipate na maelezo juu yake kidogo
yote hii ni kwasababu nimependezwa na hii jamii.
Binafsi yangu nimefanya upembuzi yakinifu nikabaini hili lisemwalo lina ukweli hassaa! Na wala hamsingiziwi kwamba:-
Kwa mwanamke yeyote yule awapo kokote ama popote nje au mbali ya kitanda kama...
Kuna aina ya watu huwezi kuwakosa bank:
(1)Waazima Kalamu
(2)Wauliza tarehe
(3)Wauliza tawi, utaskia hivi ili tawi gani?
(4)Na wasiofuata protocol, utaskia nipo nyuma yako huku akikushika bega...
Jamaa mmoja mrefu alikuwa akipigana na mshikaji mmoja mfupi sana mida ya saa 2 usiku. Watu walipoingilia kati kutaka kuwatenganisha, yule jamaa mrefu akasema, "hebu niacheni nimfundishe adabu...
Lovely ladies and gentlemen,
Friday is a FURAHA DAY and I had my diary on hand already noted and mark this vacation 30 days will be spent far away from Tanzania riding motor bikes along the road...
Wakuu,
Wakati matokeo ya Uchaguzi yakitangwazwa, sauti maarufu kwenye vituo vya TV na Radio ilikuwa ya jaji LUBUVA, ilifika wakati mheshimiwa Edward Lowassa mgombea Urais kupitia tiketi ya...
Wanyama pori walikua darasani, mwalimu akauliza, "nani mwenye masikio makubwa?", Simba akacheka sana kisha akajibu, "punda", wanyama wote wakamcheka punda, mwalimu akauliza tena, "nani mwenye...
Mwanamuziki mmoja maarufu kutoka America alikuja nchini kufanya shoo kwa ajili ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kupambana na Malaria barani Afrika.
Wakati anamaliza ku'perform moja ya nyimbo...
NIMEIPENDA HII ASEE.
Kuna kisa kimoja:
Jamaa alienda na mke wa mtu Disko, wakati ameondoka, majirani wakamtonya mume kwamba mke wake ameondoka na hawala kwenda Disko. Mume akachukua panga na...
1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi
2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani
3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi...
Salamu wana chit chat.
Hivi siku moja tunaamka tunakuta watu wote tumebadilika jinsi, yaani me wamekua ke na ke wamekua me ungefanya nini??
Hapo wife wako anaamka ndio mume wewe mke!
Binti zako...
Katika kusherehekea miaka 10 ya ndoa yao, Salma aliamua kumpeleka mumewe John kwenye 'strip' club mpya iliyofunguliwa miezi mitatu tu iliyopita.
Sababu kubwa iliyomfanya aamue kumpeleka mumewe...