Omba omba wa bia mnakera

Omba omba wa bia mnakera

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,012
Reaction score
25,353
...Umuofia ba ndugu...

...Wanakeraaa sana !!!! Mtu Dume "mnazi" ana kazi na mshahara analipwa iweje kulazimisha kununuliwa bia na Dume ...niko na wife from no wapi ...Niletee bia ...tena kwa "command "...nikuletee bia wewe nani...ulinisaidia kukata mapori...kuzama kwenye mashimo yenye milipuko...mna keraaaaaaaaaaa .....

...Mnakeraaa

..Tuacheni wenye TRA tunywe bia zetu....

ibosculpture.jpg
 
...umuofia ba Ndugu...

...wanakeraaa sana !!!! Mtu Dume "mnazi" ana kazi na mshahara analipwa iweje kulazimisha kununuliwa bia na Dume ...niko na wife from no wapi ...Niletee bia ...tena kwa "command "...nikuletee bia wewe nani...ulinisaidia kukata mapori...kuzama kwenye mashimo yenye milipuko...mna keraaaaaaaaaaa .....

...Mnaa kerraaa

..Tuacheni wenye TRA tunywe bia zetu....

ibosculpture.jpg

Hii ndio sosi ya hii habari?
 
Kumbe hata Bar huko mnaomba beer?

Si wacha kwenda tu.
 
Kuna watu toka waajiriwe wapo kikosi cha "mizinga "
 
Kwan kila aombaye lazima apewe. Wasikuumize kichwa haya uliyoyaandika ndio majibu unayotakiwa kuwapa kuliko kulalamika huku jf.

Ila kama wapo humu hawatakuomba tena kwan ujumbe wameupata.
 
Bia tunasaidiana kama tunavyosaidiana fegi,,,,,,
 
Unakuta mtu umekaa zako unapiga ka ndovu na noah jitu linakuja linasema lina kiu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom