Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza...
Hello ladies and gentlemen, it's my hope that you're doing well.
The most important thing that intrigued me to put down this discourses is all about LOVE & APPRECIATION.
I have been tried to...
Jamani wapendwa humu ndani leo tarehe 6/2/2014, mpendwa wetu sungura1980, anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Nakutakia maisha marefu na yenye furaha,amani,baraka na upendo.
Enjoy your day!!!
Wakuu
Kwanza mtanisamehe.
Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa.
- Mtu mweusi ana shida sana.
- Naungana na wanaosema weusi...
Kama sijakosea ID yake , ila Huyu Bidada sijui alibadili ID, Sijui ilikuaje!..Mara ya mwisho kuona ID yake ni 2017
Kipindi najiunga JF niliwahi mshobokea PM, ni Mdada Mzuri, wa Umbo na Sura ...
Habari za weekend wanaJF
Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia...
Kwa kipindi kirefu kumekua na tuhuma mbali mbali zikimhusu nguli wa bongofleva Nasib Abdul aka Daimondo aka Ndomo. Kutokana na hali hii niliamua kufanya utafiti wangu wa kina ili kujua ukweli wa...
Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii
Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya...
ONYO:kuwa katika uhusiano na mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari ni kosa kisheria na kwa usawa huu wa magufuli unaweza kwenda jela miaka thelathini please do it at your own risk.
Mapenzi...
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco...