JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Duh nimesoma hii comment ya LIKUD akielezea hatua aliyo ichukua baada ya mpenzi wake kuja na " behewa" kwenye mtoko nacheka mpaka machozi. Comment yenyewe ni hii hapa chini👇👇
3 Reactions
4 Replies
523 Views
Mchongo wowote wa kazi au hela ya kula bando lenyewe nimeomba
13 Reactions
82 Replies
3K Views
Staff members wanapiga kazi kubwa sana, leo nimejisikia tu kuwapost😁. Tag staff member wako mmoja unaemkubali sana, hata kama ashawahi kukufutia uzi au kukulamba block/ban then ukamjua we mtaje...
14 Reactions
223 Replies
5K Views
Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮 2025 nimeamua ukiomba...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka kamq baunsa la amadou amadou ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
7 Reactions
83 Replies
3K Views
Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
2 Reactions
7 Replies
629 Views
Mimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
6 Reactions
37 Replies
1K Views
20,007 27,000
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa. Halafu...
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi sijafunga kwasababu sion sababu ya kuifunga nikipata sababu nitafunga
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hayo sio maneno yangu, bali ni maneno ya Vodacom Mpesa, wakinijulisha kuhusu muamala nilio ufanya asubuhi ya leo. Miaka kadhaa iliyo pita hela hii ningeiweka kwenye akaunti ya Mr. Muggetta in the...
22 Reactions
65 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kama ambavyo tumekuwa tunawajulisha hapa majamvini, Wana-Arusha Wing tukiwakilishwa na Blaki Womani, marejesho Filipo, Arushaone, Lily Flower Preta, werawera na miye PakaJimmy...
18 Reactions
283 Replies
15K Views
Tuseme ukweli, walevi wana kipaji cha hali ya juu cha ubunifu. Wakati sisi wengine tunahangaika kutafuta sababu za maana za kufanya maamuzi maishani, wao hawana muda wa mawazo magumu—maisha ni...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Habari members, kwa wale waliotimiza miaka 10 na kuendelea tangu wajiunge na JF tujuane hapa.
1 Reactions
8 Replies
652 Views
😂😂😂😂 nimecheka sana huyu jamaa moto wake mbinguni sijui utakuwaje ase Eti Mungu upo? Ee upo 😂😂😂
1 Reactions
9 Replies
991 Views
Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa...
4 Reactions
15 Replies
749 Views
Ukienda msibani halafu ukae nyuma ndio utajua nini kilimuua marehemu kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu. Ni hayo tu nilio shuhudia leo.
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Jamani, humu JF mie nafurahishwa na mambo mengi. As we are approaching weekend hebu pitia some of ID's! Yaani Loh! Angalia hizi wehoodie, giLESi, @St Paka Mweusi (yaani Mtakatifu Paka Mweusi?)...
10 Reactions
147 Replies
8K Views
Jana jioni nilikuwa napitia makabrasha yangu, nikakutana fomu moja ya mahudhurio ambayo ilinikumbusha na kunirudisha nyuma kidogo mwaka 2018. Baada ya kuvuta kumbukumbu nikaishia kutabasamu tu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Kuwa mkweli mm huwaga navunga sina hata niwe na chenji sehemu ya mia 6 natoa hata buku ili mradi nirudishiwe tu mia tano yangu
5 Reactions
16 Replies
735 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…