Nimeamua kuuanzisha uzi huu kwa lengo la kuchichea mabadiliko ya tabia miongoni mwetu na hivyo kuzidi kuliboresha Jukwaa hili
Unadhani ni Mwana JF Yupi mwenye majinu au michango ya nyodo sana ama...
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea, na
kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala
hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio
neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga... next...
*Girl:* Baby ,Can you speak Italian, German or French??
Because you Like watching their games so attentively.
*Boy:* Yeah I understand Everything...
*Girl:*Mmmmh,can you speak a little so that I...
Huwa najuiliza hivi ni kweli zile takwimu zao ni maoni ya wachangiaji..!! si kwamba ni takwimu mbaya, la, bali huwa nahisi hakuna watu wanaofuatilia kipima joto cha kila siku na kujibu zile NDIO...
Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini #ALWAYS na FLEESTYLE hawaonyeshi kitu chochote?? [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji14]
Jamaa mmoja alipigwa na homa kali ya malaria mpaka akalazwa. Akiwa hospitali hali yake ilianza kuimarika.
Habari zikamfikia demu wake kupitia mashoga zake kuwa msela wake anaumwa na kalazwa...
leo wakati nikiwa na washkaji tunapiga stori za hapa na pale, kuna jamaa akawa anaimba wimbo wa profesa j na sholo mwamba (kazi kazi) sasa kwenye mstari 'mama kanituma nikanunue kuku wa kiume'...
Kwa sie wa Daslaam tumekuwa tunakerwa sana na tabia ya vijana wa mikoani (vijijini),wanapofika Dar, badala ya kuwa na mambo yanayoendana na jinsia yao, wao ukimbilia kuiga tabia za upande wa...
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira...
Daaaaah juzi kati bana nilipata dharura nikaibuka jijini DSM na nikafikia kwa jamaa angu tuliesoma wote miaka ya nyuma. sasa kwakuwa safari ilikuwa ya ghafla nilienda kwa jamaa bila ya accesories...
Jamaa alikuwa amelala na mkewe akasikia sauti ya
paka akilia kwa uchungu nje ya dirisha lake, akatoka
nje, kwa maajabu akamkuta panya anambaka paka.
Akaangalia mpaka mwisho hakuamini macho yake...
```...ingekuwa vp dunia ingeongozwa na mwanamke kungekuwa hakuna vita, ungesikia tu.. Marekani aiongei na urusi, mara rwanda yainunia burundi, boko haramu yawapelekea umbea alshabaab, ethiopia...
Jamani kuna uteja/ughaibu mwingine wa ajabu wangu huu kupatwa na alostol ya kuingia jf kila mara naona sasa umenizidia msaada, natamani niache ila nashindwa...!
Addiction mbaya sana hii, na nyie...
Yaani serikali hii imebana mpaka bei za vyama vya upinzani zimeshuka kinoma!
Hivi leo bei ya chadema ni kushika UKUTA (yaani wanataka kuirudisha kwa wananchi, ilhali wananchi wanawakataa, ila...
Kamwe usichoke kumpenda anayekupenda hata kwenye ugumu wa maisha, kwani binadamu shupavu hachoki kupambana na vita ya maisha. Usiwaombee mabaya wale wanaokuchukia yawezekana wakashuhudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.