JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
_Wageni wa zamani wakifika nyumbani kwako cha 1 wanaangalia kwenye Friji._ _Lakini wageni wa sasa raha saaana,wakifika nyumbani kwako swali la kwanza,_ _*UNA CHAJA YA SMART PHONE??*_ _Shikamoo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
hapa mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na tabia akifanya mapenzi na mkewe raha ikimkolea anapiga kelele mpaka majirani wanasikia. Siku moja jirani yake aitwaye Mzee Hamisi akamfuata jamaa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
USITHUBUTU KUTAZAMA MPIRA UKIWA NA MWANAMKE NI MASWALI MASWALI YANI NI STRESS TUPU!! #Mke: Honey timu gani zinacheza leo? #Mume: Arsenal vs Manchester Utd``` #Mke: oooh safi sana, ninaipenda...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta mwalimu atakaye kuwa ananifundisha jinsi ya kutongoza!
0 Reactions
5 Replies
998 Views
Mpemba akiwa anatembea ghafla upepo mkali ukadondosha kikoi huku akibaki mtupu ila cha ajabu akawa amezuia kofia kwa nguvu isipepee! Jamaa akamuuliza mzee vipi unazuia kofia unaacha vyombo vyote...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Nahitaji dawa ya kuacha kutamani pilau
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Wadau Ningependa kujua kama huko kijijini wanaruhusiwa kukulana (kufanya mapenzi). Kwa lugha nyengine namaanisha mahusiano yanaruhusiwa ama!?
0 Reactions
1 Replies
695 Views
[emoji253][emoji261][emoji253][emoji261][emoji253][emoji261][emoji253][emoji261] [emoji261] happy happy [emoji253] [emoji253] happy [emoji261] [emoji261] ADVANCED...
0 Reactions
1 Replies
575 Views
Mimi nina miaka 18. Ni mtanzania lakini siishi nchini. Niko nje kimasomo. Naongea English fluently na Kiswahili pia. Nataka tuchat WhatsApp ni inbox number.
1 Reactions
97 Replies
14K Views
Habari kwenu Washirika JF Leo emutaja mwalimu aliekuwa kiboko kwa matusi shuleni kwako. unaeza taja wa level yeyote ile. mimi namkumbuka mwalimu wangu wa hisabati shule ya msingi alikua anaitwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka 2001, nikiwa Morogoro, nilipata dili la matikiti Dar. Kuna mteja alihitaji matikiti 500, kila moja buku. Sasa mie nikayasaka nikapata kwa mia nne na muuzaji alikuwa na tikiti ka...
12 Reactions
117 Replies
11K Views
Msemo huu umekua maarufu saana wanaume wa dar kila jambo dhaifu dhaifu ukifanya huku bara unaambiwa usiwe kama wanaume wa Dar Tatizo nini niambieni hapa wanaume wa Dar wamepungukiwa nini HASWA
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna tabia ndogo ndogo ambazo zinakera kwenye jamii lakini unashindwa kumuambia mtu live Kutokana na umri hadhi au aibu juu yake lakini vinakukera kila siku. Kupitia uzi huu naomba tufikishe...
5 Reactions
264 Replies
22K Views
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao natongozwa na .......................... harafu sio ...
5 Reactions
123 Replies
15K Views
Jumamosi nilienda KCB branch moja Posta na kuchukua 4.5M. Yule teller akanipa zile bundles za buku tanotano. Sikumtilia shaka kutaka azipitishe kwenye mashine maana alionekana kama "muungwana na...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
*Babu*: Mjukuu wangu ngoja nikusimulie hadithi ya mimi babu yako kwenye vita ya kagera *Mjukuu*:Niambie babu *Babu*:Kwenye vita ya kagera tulienda sehemu tukakamatwa wote askari na maadui...
1 Reactions
0 Replies
638 Views
naona hapa mshahara umepatwa maana matumiz ni mengi
1 Reactions
8 Replies
2K Views
tetemeko kagera na Baba Rwegazira ba Koku:Asante ndugu mtangazaji kwa this very good opportunity...infact ni jambo la kusikitusha sana.It was around saa nane na nusu hivi...tukiwa tunaangalia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wenye tabia ya kuchungulia wadada embu tukumbushie. Kwa kweli niulikua napenda sana huu mchezo nakumbuka shule ya msingi tukiwa mstarini tulikua tutegesha kioo chini halaf tunaanza...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom