JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sababu kuu ya kutokewa na lililowatokeeni majuzi huko kwenu Kagera ni baada ya " vurugu " zenu kubwa zinazojulikana tokea enzi na enzi mlizozifanya usiku kucha wakati wa Tamasha la Fiesta eneo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani mpo? Kuna upelelezi unaendelea kwenye magroup Kuweni makini, Nimeona defender mbili zimepita kwenye forums mbili hapo nyuma hapo![emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku hizi mshahara ukitoka wadada wana maneno matamu sana, hata kwenye dictionary hayapo, eti "wewe ndio kinjekitile wangu". Mungu anawaona lakini..
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Juzi nimeenda kuzika rafiki yangu huko kijijini kwao, sasa utaratibu ni kua baada ya kuzika mzee wa kimila hua anaamka na kutangaza atakayefata kufa mkiwa bado eneo la kaburi. Mzee huyo alipoamka...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Leo imetolewa akaunti rasmi ya kuchangia wahanga wa tetemeko Ni 0112045981500 Crdb Tusiwaangushe jamani
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Ni Mara nyingi nimeskia kuwa zipo ID ambazo zinapewa pesa (7000) Kwa siku malengo ni Kwa ajili ya kuanzisha propaganda jukwaa LA siasa au katika jitihada za uenezi kisiasa . Lakini mimi binafsi...
1 Reactions
10 Replies
876 Views
Mwanaume shurti uwe na Pumzi ndefu, sio unapewa mzigo unahema kama Fuso ya Viazi... Mibia mnayokunywa na Vitambi utadhani Simtank, mkiibiwa msilaumu.Dakika 5 nyingi unaomba Poo, kamua mzigo ujenge...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Je wajua?! Hata uwe na umri mrefu vipi huwezi kufikia gorofa! Hata simba jike awe mkali vipi atapandwa tu! Hata uwe mkubwa vipi huwezi kulamba kiwiko cha mkono wako! Hata uweze kubana pumzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuzikumbe nyimbo za zamani. kidogo nagawana na wenzangu-Qchief. bush party-(hawa jamaa nimewasahau) mugambo-juma nature anita-matonya Taja nyimbo zingine za kitambo unazozijua
0 Reactions
5 Replies
4K Views
*Wahaya wamezidi sifa jamani khan!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k*
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria nimeona leo nije nikupe kwani umeonyesha uvumilivu sana, je...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeikuta sehemu kwenye Facebook, hivyo sio kauli yangu binafsi Brenda.......... Never satisfied. Charity....Wifematerial. Marion.........Smart. Joyce....Heartbreaker. Doris....Stupid...
0 Reactions
19 Replies
20K Views
Mko baa mnakunywa mara ghafla mnavamiwa na majambazi na kutoa amri kua, toeni kila kitu mlo kuanacho mtupe chini, kisha uchague moja kati ya haya. Anaetaka kufa atokee mlango wa mbele, anaetaka...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
*Yaan apa najaribu kuwaza peke yangu ivi zama zile zakurusha mawe juu ya bati kwakumpa taarifa demu kuwa upo nje je ingekuwa ndo zama izi cjui ingekuaje maana cku izi demu mmoja ana wanaume30 tena...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Sikh moja nipo maeneo ya mlimani city Mara kapita mtoto mrembo sinikaanza kumfuata kwanyuma ili nilushe swaga nilipomkaribia nikamgusa bega alipogeuka tu niksishiwa pozi nikajikuta nikitamka ETI...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu Leo natoa onyo kwa wale wanaopenda kuiga lugha za watu wakati mwengine wanatukana hawajijui Kuna jamaa yalimkuta alizamia meli akajikuta ametua ulaya baada ya kushuka melini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
_Wageni wa zamani wakifika nyumbani kwako cha 1 wanaangalia kwenye Friji._ _Lakini wageni wa sasa raha saaana,wakifika nyumbani kwako swali la kwanza,_ _*UNA CHAJA YA SMART PHONE??*_ _Shikamoo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom