Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,685
- 28,769
SIKUBALI KUUMIA PEKE YANGU, BORA
MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja
aliwaalika watu katika mazishi ya mama
yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia
ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku
kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini
hivyo?
Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu
sana, hivi atakula njiani
Mhaya akazama kwenye wallet, akatoa
laki 2, akaidondoshea akisema, 'vikiisha
hivyo atanunua vingine'. Mkurya mmoja
akadondoshea laki moja akasema,
Isipotosha ataongezea hii
Mchaga akatoa cheque book, akaandika
cheki ya laki 5, akachukua ile laki 3
kwenye kaburi na kuacha cheki akisema,
'bora ukachukue hela mbele ya safari kwa
cheki Vibaka wasijeWAKAKUUA bure/
Shikamoo _wachaga!!?????!!!!!
MBAVU ZITUUME Mnyakyusa mmoja
aliwaalika watu katika mazishi ya mama
yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia
ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku
kadhaa. Mhaya mmoja akauliza, 'Vya nini
hivyo?
Akaambiwa, 'Wafu huenda safari ndefu
sana, hivi atakula njiani
Mhaya akazama kwenye wallet, akatoa
laki 2, akaidondoshea akisema, 'vikiisha
hivyo atanunua vingine'. Mkurya mmoja
akadondoshea laki moja akasema,
Isipotosha ataongezea hii
Mchaga akatoa cheque book, akaandika
cheki ya laki 5, akachukua ile laki 3
kwenye kaburi na kuacha cheki akisema,
'bora ukachukue hela mbele ya safari kwa
cheki Vibaka wasijeWAKAKUUA bure/
Shikamoo _wachaga!!?????!!!!!