Kweli maisha magumu kuna station ya tv ilisema Leo kipindi cha mapishi kitakuwa wali samaki...naona now wanaomba radhi eti watapika ugali na mchicha......
Amani iwe kwenu wandugu
Leo nimekutana na mwalimu wangu aliyenfindisha somo LA kiingereza kidato cha pili na tatu.
Alikuwa mwalimu makini asiyetaka mchezo mchezo. Alikuwa mwalimu katili hasa...
Nimekua nikifuatiliza vibonzo kutoka kwa wachoraji mbalimbali wa siku hizi, wengi wao wanatumia picha halisi ya mhusika, then sehemu zingine za mwili ndio zinachorwa.
Sijui huu ndio mtindo wa...
Angalau kila nyumba ina kiwanda cha kutengeneza juice,
Pia kuna viwanda vikubwa vya kutengeneza barafu na ice cream
Kama hiyo haitoshi kuna kiwanda kikubwa sana sana cha kuchonga fenicha
Lakini...
Mfano wajita wana nyimbo mbili zikipigwa kwenye maharusi utaona magauni marefu na suti zinaserebuka hatari
wa kwanza unaitwa NDOLELA
Mwingine sijui jina lake ila una kibwagizo "Mwana wao Chagega"...
Have you noticed that
most of Tanzanian's problems
begin with the letter'P'....?
. Police
. Pinda
. Politics
. Pension Thieves
. Power failure
. Petrol - uchakachuaji
. Prostitutes
. Pirates
...
Mzungu akilala hushika KICHWA mhindi yeye hushika TUMBO sasa tuna kuja kwetu sisi wa Swahili ukilala zako KUSHIKA SEHEMU ZANDOA yaani katikati ya MIGUU
Yaani unadate na mtu anakutumia
msg,Babe naomba unisaidie kitu kimoja,unajua Baba
ameishiwa hela kabisa hapa
home hapaeleweki please nisaidie hela' Khaa!sasa
mimi nilikutongoza wewe au nilitongoza...
Ati ukitaka kujua dem ni wife material,, mpeleke shopping supermaket, akichukua ice cream kabla ya unga,, ,,,rudisha kwao [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi juzi nilitoa uzi hapa baada ya kumfungia nyumba mchepuko na kumtimua nikaona nitembelee Ud pale nione kama ntapata katoto kalikokosa mkopo nisaidiane nako
Niko mawindoni UDSM
Kwa bahati...
Hii ni kwa wale wote wanaoisoma namba mtaani toka utawala wa awamu ya tano umeanza.......
Ile kauli ya Rais ya kuwageuza baadhi ya malaika waishi kama mashetani sasa nataka kila mtu ambaye kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.