Msichana wa Tanzania akikwambia *baby nikwambie kitu...* my friend zima simu utoe na betri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
MWANAFUNZI AMUULIZA MWALIMU SWALI
#mwanafunzi# :mwalimu eti ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu..?????
MWALIMU KWA HASIRA :Swali gani hilo la kipuuzi lazima zitatoa povu sababu zote ni...
A little boy came up to his mother in the kitchen one evening while she was fixing supper, and he handed her a piece of paper that he had been writing on. After his mom dried her hands on an...
wasichana
wengi matapeli wa
mapenzi? Utakuta msichana
hajakupenda
anataka pesa anapretend
kaoza hatari ni pale kunako sita kwa
sita msichana anapiga
kelele za mahaba niue mnaweza kuwa...
Naombeni msaada jamani kabila la wasafwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya,wanawake wa kabila hilo wana sifa gani,ni muhimu kwangu naomba msaada wana JF.
Nawasilisha.
My dear sister's,
Najua malengo na matamanio ya kila mmoja wenu
ni kuwa na mwanaume mwaminifu mwenye
hekima, busara na mwenye mapenzi ya kweli
Lakini naomba nikwambie na nikuhakikishie kwamba...
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.
Binti wa Kizungu: *Baby you look nice and fresh.*
Binti wa Kibongo: *Naona safari imeiva, Mwanaume...
Wakuu mko poa?
Jamaa yangu mmoja kafungua hizi ofisi za kuchora watu tattoo na juzi alinikaribisha ofisini kwake kuona mambo yanavyoenda,katika maongezi yetu nilimuomba kidogo anikopeshe hela lkn...
duh,yani majukwaa mengine yote this night at this time,wamelala na nyuzi watu hawachangii ila huku naona muda huu nyuzi zinaguswa tuuu kama kawaida ase....ukipost comment unakuta unaambiwa there...
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi...
habari wana JF
Nimekuja kilimanjaro kikazi kwa mda wa miezi 6 nitakua moshi mjini hapa sasa nina kama week 3 hivi tokea nimekuja daah yaani kuna watoto wazuri balaa yaani mtoto ukimwona tuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.