1. Hire two secret detectives and make them follow each other.
2.Want to troll your mom? Simply put a big Knife in your bag every morning.
3. Eye a girl in college who is standing alone? Cool...
Wakuu nina shida sana na hii supu Kwani muda kweli sijaitumia nilisikia samaki samaki wanauza local food ila bado nilikosa mwenye kujua anielekeze wapi ntapata supu ya kenge au mamba kwa hapa Dar?
Habari wanajukwaa,
Natafuta marafiki popote walio serious sana kuanzia miaka 25 ,ambao wana busara na hekima ya kutatua matatizo mbalimbali ya kimaisha. Please kwa walio serious tu, kama unaona...
Take off the fourteen layers of clothing you put on this morning because there was a distinct chill in the air due to the temperature dropping below 73ºF.
Carefully fold each item, and place in...
Habari wana MMU
Kiukweli haka ka nyimbo kamenigusa.
Ni kweli kuhonga kuna leta mkosi hili mi nishaliprove. Kuna mademu ukiwapa hela kupata nyingine ni shida sijui mpaka amalize kuitumia...
Habar wanajamvi juzi mida ya jion nimekaa na jamaa yangu ananipa story alikua na apointment na dem wake jpil jion bac bwana jamaa kapiga cm weeee mwanamke hapokei jamaa akaona isiwe tabu wacha...
Yaani huwa nazitamani za mshana jr hivi zina raha?
Mie nazeekea jf sasa na sinazo hata za kutosha
Ntakuwa bibi bila hata like 500?
Hebu nipeni jamani, tena za kutosha,
Nipeni za kutosha na...
Aisee tangu nimeanza chuo najilia tu fahari ya macho yani na kwa hili itanibidi nisiwe mnafki watoto wa UDSM wana drive mbaya mbovu japo kuwatokea ni mziki mwingine kabisa ambao unaitaji kuucheza...
Punchline ya kwanza kabisa duniani ilirekodiwa tarehe na mwezi kama wa leo miaka 98 iliyopita na rapa kutoka Nyanzaland ambayo kwa sasa inajulikana kama Mwanza. Ilikuwa inaenda hivi
"Oko kaya...
Masai alipeleka redio yake kwa fundi, ilipofunguliwa ili itengenezwe, wakatoka mende weeengi, masai alivyoona hivyo akamwambia fundi ''KAMATA HAO WATANGAZAJI WANAKIMBIA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.