JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hali si nzuri baba kikwete gombea tena tutakuchagua[emoji6]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
*Umexhawah kwenda kweny harusi halaf DJ akawa ana play mzki kwa saut ya juu sana halafu unaongea na rafik yako kwa saut ya juu vlevle ili akusikie mara DJ anazim mzik ghafl huku ww unapayuka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Pesa... Mwaaaaaahhh..!!
3 Reactions
30 Replies
44K Views
Ushawahi kwenda kwa hoteli kunywa chai na chapati na uko na 1000 tu Kidogo ukaanza kunywa unaona 1000 ingine chini unaikanyaga unaagiza tena chai na chapati Ukamaliza ukaenda kulipa kumbe ile...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
"All teams, do you copy? This is alpha one, I got visual on the package. I repeat, I got visual on the package. He is heading N-N-W just few clicks from the rendezvous point bearing 90°.Is the...
3 Reactions
139 Replies
9K Views
Mwanaume aliye na pesa alafu mbovu kitandani au mwanaume masikini alafu mtundu kitandani?
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Mke ni kama chama cha siasa anahitaji vyama vya upinzani ili aimarike--- Mzee wa Upako [emoji3][emoji3] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Unakuta Lidada Limeshatoa Mimba Kama 5 iv Af Bila Aibu Linajida Linaogopa Mende Akili Yangu Naijua Mwenyewe[emoji35]
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe. Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo.dah
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangazo tangazo tangazo mwenye gari namba 2016 jpm akalisogeze watu wanashindwa kufanya mambo yao
2 Reactions
3 Replies
793 Views
Je unawakumbukaje Marafiki zako Wa utotoni kila MTU atukumbushe maisha yenye Upendo.urafiki Wa dhati enzi zako
1 Reactions
0 Replies
693 Views
Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm... Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
mi ni mdada wa miaka 32 Natafuta marafiki wa kuchati nao marafiki wa jinsia zote. Nipo dar na ni mfanyakazi! Pm nifuate
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnijibu swali la leo. Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je! ""ADAM"" alilipa mahari ? Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi kati ya vitu ambavyo sitosahau ni pale nilipoenda mji mmoja hivi hapa nchini sasa bhana nikahisi barafu ni muwa nikanunua zile za kwenye kijiti badala ya kulamba mwenzio nikang'ata nusu yake...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…