Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi...
Utakasikia:
"Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya"
"Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20"...
Wakuu habari za kulala.
Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia.
Mimi nitakuelezeni leo jinsi...
Natamani kuwa na huyu mwanaume kwenye siku ya valentine day,aniambie popote alipo ntamfata kwa gharama zangu,ananikosha sana nyonga zangu,simmalizi nikimfikiria, niitieni anitoe hamu nataka...
Habari wanaJF,
Leo tunakuja na mchezo mpya unaoitwa “Niongezee Sentensi” – huu ni mchezo wa fikra, ubunifu na mantiki, ambao wa mwisho kabisa tutamtumia mkono wa pongezi. Unaburudisha, unachokoza...
Kudadadadeki!
Tumetoka mbali mangi tangu enzi zileeeeeee.... unaogeshwa live....
Mpaka yaani shheenzy zakoooo ukapitia matatizo makubwa sana.... dingi yako alikuwa mmmbaayyyaaaa!!
Nakumbuka...
Inakuwaje wakuu
Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021
Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi...
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
Wakuu Leo ni ni siku ya Kuzaliwa ADRIAN HILLARY STEPP aliekuwa EATv ambae sasa yupo AZAM Tv two.
Hope mnajua ni mdau wetu.
Chanzo cha Habari ni AZAM Two na mtoa habari ni yeye mwenyewe kwa...
Ni ng'ombe jike katika familia fulani...huyu ng'ombe alikuwa anakamuliwa maziwa na kuleta riziki kwenye hiyo familia.
Mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho kwenye hiyo familia alikuzwa na maziwa ya...
Habari ndugu zangu wa JamiiForums,
Natumaini wote mko salama na wenye afya njema. Leo natimiza mwaka mmoja tangu nilipojiunga na hii jamii adhimu ya wasomi na wachambuzi wa mambo mbalimbali. Ni...
Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi.
Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi .
Ila sasa kwa...
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha...