JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo zenu wanajf.......leo ndo siku yangu ya mwisho jukwaani nawaomba mnisamehe kila niliyemkosea.....kila la kheri.... Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mara oooh umejiunga Jana unaandika kama mwenyeji[emoji57][emoji57] . kujichanganya ndiyo mpango mzima. Eti hujakamilisha hata siku una comment nyingi itakuwa wewe...
28 Reactions
223 Replies
12K Views
wazee wa kipande hii hili jukwaa kwa ajil yetu wajanja wa chuga na moshi! asikwambie mtu wajanja wote na machalarii wote wa kisela tunasomeka kipande hii! wa da slam wanatuogopa sana machizi wa...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
paukwa......pakawa na mdudu na watu wakauwawa.Ni ugonjwa uliotoka ulaya,ukaenea ulaya hadi sasa umefikia malaya.Nitawapa stori kwanzia mwanzo start hadi mwisho smart........niendelee?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwadilla wakuu Kama ningekuwa mod wa humu mjengoni sijui kama pangekalika humu yaani vishoka vyote ningevibanika kisawasawa mpaka vilambe kisogo na vile vitikisa goli navyo ningevipa beki no3...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
CHAGGA WOMEN First Date: You get to buy her Amarula (or Redds), mbuzi choma and dance the whole night. You have to buy her credit, to organize for the second date. Second Date: You get to buy...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za usiku wanajamvi Ni ujumbe unaolengwa kuwafikia madada(wanawake) wote humu JF na nje yake kuwa:- UKIPENDA CHIPSI USIOGOPE MIMBA!! [emoji57] Tafakari. Madada wote mkimaindi njooni Kibiti...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakati unatamani baba yako angekuwa #Dangote. Wakati huo huo baba yako naye anatamani we ungekuwa MBWANA SAMATTA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Kumbukeni Shetani Anacheza na Akili...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Habari wanaJamvi naomba nitandike mada hii kwa neno moja alafu nawe Kama ni muhenga au uliahasikiaga mambo mbali mbali ya Zama hizo utaruhusiwa kutupia neno . JE UNAKUMBUKA # URAFIKI WA KALAMU#...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
kuna video moja nimeiona ikipitumwa ya comedy ambayo ningependa kisa chake nami nikigusie kidogo. bwana mussa alikuwa akifanya kazi kampuni flan na wazungu kwa muda mrefu na kwa kuwa alikuwa ni...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
HAKUNA watumishi wa umma wenye dharau kama baadhi ya manesi kwenye Dispensary ya mtaani kwetu............ Yaani kuna nesi nimevuwa suruali anidunge sindano THEN ananiuliza HAYA MATAKO ULIPAKA...
10 Reactions
42 Replies
4K Views
Habarini wadau wenzangu kama uzi unavyojielezea naomba kila mtu ataje mambo matatu anayopenda besti (rafiki yake kipenzi amfanyie) mimi ninayopenda anifanyie ni:- 1. asiwe muongo sana, kila kitu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Haka ndio kamsemo kapya mjini, nakapenda sababu kanawaziba midomo wanafiki na wazandiki ambao kutwa kusemana na kusengenyana badala ya kupambana kujikwamua na hali zao duni. PAMBANA NA HALI YAKO!
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Wadada bhan..;Utasikia mwanamke anahitaji matunzo mara utasikia mashine yako kasagie mahindi[emoji13] [emoji13] Swali linakuja ikiwa Baba ako kashindwa kukutunza mpaka kaamua kukubadilisha na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wauni sio poa kabisa Yaani, kilikuwa kinanifariji Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
9K Views
It's awful how some members of JF uploading their amazingly photo that seems to represent attendance of devil I'm always want to establish a thread of devilworshipers to educate a society how...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana jamii wote tahadhari kubwa sana ichukuliwe pale teja la madawa ya kulevya (maaruf "unga") litapokuja "kukupiga mzinga" (kukuomba pesa) hususan kama tulivyowazoea omba yao kubwa ni "Buku"...
12 Reactions
108 Replies
9K Views
Baada ya kukaa na kumbuka maisha ya Shule na ugumu wake naomba kila mwana JF aje aseme njia alivyofukuzwa au alivyonusulika kufukuzwa Shule Mimi binafsi nikikumbwa na msala kwa kusingiziwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Sapot yenu ya mhimu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
50 Replies
3K Views
Back
Top Bottom