Umealikwa mtaani penu Kuna shughuli umbali wa km 1 kutoka kwenu unatembea kwa miguu mara baada ya mvua kuisha, kwa bahati mbaya wakati unakaribia kwenye tukio ukateleza na kukaa chini topeni nguo...
Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya
Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi...
Salaam wana jamvi!
Wajuzi wanasema kua yuaone. Kama tunavyohua mabachela watafutaji hususani wanao anza maisha wengi wetu tuliotokea kwenye familia dhaifu kiuchumi tunaanzia kwenye ghetto ndo...
DISCLAIMER (KANUSHO): Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya burudani tu, Maudhui yake hayana nia ya kukashifu, kudharau au kuchukulia poa harakati/imani/mitazamo au kazi za watu.. Tufurahie na kucheka...
Kuna namna unaishi inapelekea wale wajomba wanaokaa vijiweni na kwenye gahawa wanaanza kukujadili hadi kuja na conclusion kuwa wewe ni usalama wa taifa kumbe kijana wa watu hata bastola haujai...
Nikiwa chuo mwaka wa pili hii siku ilikuwa ni siku ya game ya UEFA (UCL knock out stage) kati Liverpool na team flani siikumbuki.
Kawaida yangu game kama hizi mara nyingi nilikua naangalizia...
Kama unapata changamoto hizi Dar nenda mikoani bado nchi hii ina ardhi kubwa sana tena yenye rutuba na fursa nyingine nyingi
1. Unaamka saa kumi kuwahi Gari
2. Unafika kwako saa nne usiku na...
MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na...
Wakuu ni kitu gani ulinunua kwa pesa yako ya kwanza kulipwa au kupata iwe kwenye ajira rasmi,boom la chuo au pesa uliyoingiza kwenye biashara.
Nakumbuka kipindi naanza chuo mwaka 2014 pale udsm...