Assalaam,
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, namshukuru Mungu kwa kuifika siku ya leo nikiwa na afya njema.
Allah anijalie afya njema, anilinde, niishi kwa kumpendeza yeye.
Oooh ushangazi...
Evelyn Salt
You comment like a dude.
You post masculine.
Unabishana kibabe
Simaanishi kwamba wanawake ni weak ila kwa macho yetu ya kiJF unatiki kila box za kuwa boyish
Are u a dude, stud or...
Wakati mwingine huwa sielewi shida ya watu wa Dar nini Kuna siku Rafiki yangu nilimwambia nakuja Dar akaniambie niletee zawadi za huko Tukuyu.
Nikanunua mkungu wa Ndizi debe la Viazi na Nyanya...
Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao.
Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi...
Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri...
Binti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata...
Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana...