JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello!, Jf-members. Je, umeshawahi kujikuta unazungumza peke yako au unaongelesha vitu visivyo hai na ulichukua hatua gani?
4 Reactions
20 Replies
252 Views
Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula koni kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa UKISUSA WENZIO WALA Ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa UKITOKA MWENZIO ANAINGIA Jamaa...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu Mimi Nipo kibaha mjini kikazi anaejua viwanja vya Bata maeneo haya ambapo Kuna watoto wakali ni sehemu Gani wazee nataka niibuke Leo nikale Bata mpaka kuku waone wivu tupunguze machungu kidogo
1 Reactions
47 Replies
857 Views
Baada ya kukosekana kwa muda mrefu uzi wa kututetea sisi wavuta sigara, sasa rasmi huu ni uzi wetu sasa, tujimwaye mwaye, tubadilishane uzoefu. Ulianza vipi kuwa mvutaji wa sigara? Karibuni wazee...
13 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari JF-members! duuh!, sijui shida ndio kutofika shule au uvivu wa kufikilia. Naombeni majibu nimeshidwa kuandika kwa maneno 11000 Na 10001, Naona kama vyote vinafanana.
2 Reactions
12 Replies
197 Views
Habari za leo jf-members..... naombeni majibu yenu, Mwalimu aliuliza swali "laiti kesho ingekuwa jana basi leo ingekuwa ijumaa " je, mwalimu aliuliza swali siku gani?
7 Reactions
19 Replies
519 Views
Linapokuja suala la kucheza mziki Mungu hakuwasahau watu wafupi.
3 Reactions
1 Replies
134 Views
Hili sio ombi ni AMRI. Kila mtu lazima ashereheke Krismas. Kuendana kinyume na hapo utajiweka kwenye wakati mgumu. Na usije kulaumu mamlaka takatifu. Vijana wa Zayuni kwaanzia leo usiku hadi...
4 Reactions
26 Replies
374 Views
December 31 I was finally birthed, it was time for me to find what is this planet worth. Jamaa home where I got my sernity first, you can say, this is where I was handled my bless. I have been...
28 Reactions
466 Replies
13K Views
Kulingana na huo utafiti nimegundua hizo neti ni za kutoa watu uoga wa kaburini. Wote tulishahudhuria mazishi sehem nyingi na kama bado wewe n zombie. Jaribu kulala ukiwa umeangalia juu yaan...
2 Reactions
0 Replies
133 Views
Tunataka kujua ng'ombe waliogongwa na shilole ni wangapi na wanaendeleaje maana mali ni bora kuliko taarifa za mtu.
6 Reactions
10 Replies
311 Views
Habari. Kila Mmoja Anaendelea Na Majukumu Yake Ya Kila Siku Vyema. Kama Swali Linavyojieleza Hivi Ni Kwanini Wanandoa Wa Jamiiforums Wanashambulia Watu Ambao Hawajaoa? Kuna Nini Nyuma Ya Pazia...
5 Reactions
19 Replies
788 Views
Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa...
1 Reactions
3 Replies
290 Views
Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali. Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua...
10 Reactions
16 Replies
398 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…