JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Kwa wana Mwanza ni kiwanja...
4 Reactions
41 Replies
9K Views
#Roadlife. Tuikemee vikali tabia ya baadhi ya madereva na hasa wa malori ya kunywa juice au soda halafu hawamalizii kisha kutupa hizo chupa zikiwa na juice au soda ndani yake,hii tabia si nzuri...
2 Reactions
12 Replies
452 Views
Ilikuwa saa tatu usiku, nakumbuka nilikuwa room nimechill kisha nikaamua niende nje nijiburudishe kidogo. muda huo wazazi walikuwepo sebuleni wakitazama TV, hivyo nilipaswa kuwa mwepesi, nitoke...
7 Reactions
4 Replies
434 Views
Nikifa MkeWangu Asiolewe ukikaidi utapigwa2 Utajua wewe Utajua ujui Salary Slip Imeloa
33 Reactions
195 Replies
7K Views
Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
5 Reactions
19 Replies
992 Views
Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
5 Reactions
16 Replies
912 Views
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu Maisha yaliendelea...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Kamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?
3 Reactions
104 Replies
24K Views
Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina...
3 Reactions
15 Replies
552 Views
mzabzab Poor Brain Swahili AI min -me Shimba ya Buyenze PSL god Red black naelewa mambo yenu ila huu ni mwaka wa kujenga, fungeni macho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
4 Reactions
4 Replies
332 Views
Kuna Watu Ni Bure Kabisa! πŸ˜€πŸ˜€ 1. Unapewa lift unamwambia mwenye gari apunguze sauti ya redio na wakati kuna ngoma yake anasikiliza! Wewe ni bure kabisaπŸ˜€! 2. Unaingia kwenye ofisi ya mtu, simu...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee Mchana mwema
5 Reactions
68 Replies
3K Views
realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
16 Reactions
66 Replies
2K Views
Zebra Question by Shel Silverstein. I asked the zebra Are you black with white stripes? Or white with black stripes? And the zebra asked me, Or you good with bad habits? Or are you bad with good...
4 Reactions
2 Replies
420 Views
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita shangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi. Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na...
15 Reactions
114 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…