JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Wapare 2. Wakinga 3. Waha 4. Wagogo 5. Wachagga 6. Wakurya 7. Wajita 8. Endeleeni na orodha kama Taifa tukubaliane kuwa Wapare, Wakinga na Waha hawana mpinzani Naomba kuwasilisha Pang Fung Mi
14 Reactions
100 Replies
3K Views
Pacome ZOUZOUA aomba kuondoka Yanga! Kiungo mshambuliiaji wa Young Africans raia wa Ivory Coast ameuomba uongozi wa Young Africans jana jioni kuondoka kwenda Gym kufanya mazoezi ya viungo ili...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Watani mnahusika Lete utani wenye kuudhi na kukera nami nitakujibu Naanza mimi ninyi Waha kwenye treni ya sgr haiwafai endeleeni kutumia ya mkoloni
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Hivi kwanini kila soksi ninazonunua zinaisha hivi hata miezi 3 haifiki? 😡😡😡 Ni mimi tu au nitafute soksi za chuma??? Kwa sababu nimechoka!
5 Reactions
104 Replies
2K Views
Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
9 Reactions
86 Replies
3K Views
1. Wahaya. Wapo vizur kichwani yaan shule inapanda. Wana mvuto, Papuch zao laini Hawanyimi ukienda vizuri Wanaweza kutoa papch kwa miadi ya pesa. Are mostly black beaty na maumbo mazuri Selfish...
17 Reactions
214 Replies
70K Views
Habari....👋 Nilikua sijawahi kuifuatilia hii series, nilipoicheki tu looh nimenogewa. Imebidi niwe naangalia episode moja moja ili nisiwahi kuimaliza na nishakusanya Season 1-7 so sina wasiwasi...
20 Reactions
116 Replies
11K Views
Ikiwa Leo ni Kumbukizi ya Kuzaliwa kwangu, Umri ukiwa umesogea sana nimeona niwaachie ujumbe kidogo Maisha yanapokupa baraka nyingi usikimbilie kusema wenzako ni Wavivu, watu wapo kimya hawasemi...
2 Reactions
6 Replies
652 Views
Na kalaga baho Wazee toka nije paje nimevutiwa sana na maisha ya ubichi boi, imenipa ari na nguvu ya kuongeza siksi paki na kushinda na vibukta bichi. Hapa nina mpango nifuge na rasta kabisa...
16 Reactions
84 Replies
3K Views
Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
8 Reactions
40 Replies
2K Views
2 Reactions
2 Replies
186 Views
Wadau Hiki kilikuwa ni moja ya vipindi maarufu vya RTD hsawa kwa watoto hasa kwa watoto wa primary enzi hizo. Watanzagaji wake nadhani alikuwa ni Debora Mwenda. Kuna zile hadithi zilikuwa...
3 Reactions
23 Replies
10K Views
Aisee nimejikuta nampenda huyu member KENZY Mfuatilieni .jamaa ana kitu apewe ulinzi Mimi nimemjua Jana tu Kama hajaoa naombeni mniweke pale ndugu zanguni. Napenda kufurahi Mimi Kenzy nitakucheki...
15 Reactions
202 Replies
6K Views
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto, Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe...
23 Reactions
132 Replies
4K Views
Mimi ni huu uzi wa wazee wenzangu njooni tuweke mikeka Sielewi wanachojadili maana kila nikifungua nakuta ni maumivu tu watu wanasema kesho lazma tumle muhindi. Sijaelewa kwanini uzi unatrend...
23 Reactions
139 Replies
9K Views
Huu uzi ni maalumu kwa kujua wana JF wanatokea wapi. Comment unapotokea sisi majirani tutapita na likes. Itasaidia pia kupeana michongo ya hapa na pale. nianze mimi Arusha- sanawari
11 Reactions
139 Replies
7K Views
Alishinda wiki hii lakini hana furaha. tuone atakayepatia
0 Reactions
11 Replies
769 Views
Back
Top Bottom