JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dear Boss John, Me is resigning from the work for becoz hungriness is playing with me. You is giving me young money. I can’t afford to buy the whole moon. I please you to go up my money you...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
[sees kid crying] Kid: Im lost Me: that's ok. We're all lost. Happiness is an illusion. Life is meaningless. Death is around the corner. Bye
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Labda kama ni hawa tu wa kwangu aisee! Nina wanawake/wadada kadhaa kwenye phonebook yangu whatsapp, kiboko ni hayo maneno yao ya kwenye status zao, loh ni michambo na mipasho kwa kwenda mbele...
3 Reactions
98 Replies
63K Views
naweza kusema poleni wana jf wote ambao hamkufika katika harusi yangu, watu walikunywa,walikula ilikua raha tupu.poleni sana mliokosa.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Bosi mara nyingi akiwa kimya ofisini kwake akibanwa na ushuzi anauachia kwa nguvu zote Kijambio kikazoea Siku moja yuko ktkt mkutano baada ya lunch mchana akapitiwa na ka usingizi,sasa kutokana...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Tarehe kama ya leo na saa kama hii, niliamua kujiunga JamiiForums. Nadhani nimeshiriki kumsaidieni na hapa kuna baadhi ya mambo Jamii imenisevu. Haya vijana semeni Shikamooo babuuu :becky::becky:
0 Reactions
11 Replies
936 Views
Jamani mbona hawa wenzetu kabila la wasukuma wanaongea kwa kukandamiza maneno mfano,KULAGA,BEBAGA,KWENDAGA,SOMAGA,LIMAGA,LALAGA,ENDESHAGA,NAKUPENDAGA, je haya ni mapozi yao au swaga zao au ndo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
chiNeSe woMan 燽倓痰翥奎畇祓郪祓戉嬼十木戈$錟川流不息&#30340...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jaman washkadau, Kati ya wale watoto wawili wa bwana mkubwa wa Dunia ambae akienda sehemu hadi barabara za vumbi zinadekiwa, nimempenda yule mkubwa yaani nimemwelewa yupo vizuri kama Mnyarwanda...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kichaa mmoja aliamua kupiga simu hospitali na ilikua kama hv, kichaa:haloo,samanahani.chumba namba 27 kina mtu? Muuguzi:subiri ngoja nikaangalie. Kichaa::ppouwa. Muuguzi:hakuna mtu.....kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kumbe alizua kizaazaa pale alipoingia katika moja ya hotel za nchini humo! kama kawaida kwenye hotel kubwa lazima upewe menu ambayo ina kila k2 kinachopatikana katika hotel hiyo. Kumbe mwenze2...
4 Reactions
13 Replies
6K Views
  • Redirect
Amani Ya Bwana Itawale Jamvini! Hivi Hizi Titles Humu JF Za "Member", "Senior Member", "Jf Senior Expert Member", "Jf Platinum Member" "Golden Member" n.k Ni Hadhi, Vyeo, Ngazi, Madaraja...
0 Reactions
Replies
Views
Lazima utapiga ukeleletu. Maana yangu ni kwamba mgongo wa kuku wa kienyeji ukiwa mkavu kwa ugali wa dona.:becky:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Teacher:Name the types of gases you know. Moha:Nitrogen gas Lilian:Oxygen gas Me:Tear gas Teacher:visibly angry,"I am giving you one minute to give me a correct answer. Me:(thinking hard and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yeyote kama yumo ndani ya jamvi aliyesoma kipindi hicho au hivi karibuni atujuze matokeo na maendeleo kwa ujumla. Kipindi cha 1990, tulikuwa 25 tuliofanya mtihani wa taifa wa IV. Je miliofuatia...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hamjambo?
1 Reactions
0 Replies
759 Views
Tunatangaza kifo cha Steven Pius Mallya kilichotokea usiku wa kuamkia tar 15 Mei 2015, maziko yatafanyika tar 19 Mei 2015 nyumbani kwake Kibosho Maua Kati, habari ziwafikie ndugu, jamaa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nahitaji kujua tabia za kabila la wamwela, wangoni, wapare:help::help::help:
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Siku moja majambazi yamevamia nyumbani kwako, Baada ya kuchukuwa kila walichukuwa wanakihitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo. Kwaharaka ukapiga magoti kwa unyenyekevu ukiwasihi wakuwie...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Wakuu habari, ...nina cmu yangu tajwa hapo juu ila ina tatizo la internet, kwamba inaconnect vzur 3G kabisa ila nkianza kutumia tu inanambia 'no internet connection', hata nkiconnect wi-fi...
0 Reactions
4 Replies
794 Views
Back
Top Bottom