lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
naweza kusema poleni wana jf wote ambao hamkufika katika harusi yangu, watu walikunywa,walikula ilikua raha tupu.poleni sana mliokosa.
umewasilisha vibaya bandiko lako badala ya kutoa shukrani kwa kwaliopoteza muda wao kukupa support kwnye harus yako unatoa pole kwa ambao hawakuhudhuria...AIBU
Hivi ulitutangazia tuhudhurie?
unapataje muda wa kutumia simu huko honeymoon??
mkuu nitatoaje shukrani kwa watu ambao hawakufika bana? yaani wamekosa mazaga kibao
ndio mkuu
Bahati mbaya wengine hatukuliona
naweza kusema poleni wana jf wote ambao hamkufika katika harusi yangu, watu walikunywa,walikula ilikua raha tupu.poleni sana mliokosa.