JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza, chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo. watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo. chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I arrived in Dar Es Salaam safely. I traveled via Pricess Munna from Mwanza to Dar, and the journey was extremely tiring and not as exciting as i thought it would be.We left Mwanza at 6:05 in the...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tafadhali husika na mada ya hapo juu. Mimi ni kijana nisiezidi miaka 30 ni mwenyeji wa Zanzibar. Dhumuni la barua ni kukueleza tangu nipate kukufahamu kupitia Jf unaukosesha raha moyo wangu...
1 Reactions
85 Replies
5K Views
Leo nafungua thread ambayo kupitia hapa kila awezaye atatoa hoja ambayo ukiifanyia utafit ( to prove it... especially simple utafiti) utagundua kuna ukwel kuhusu hicho kitu! Kwa kuanzia; 1...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa kizazi hiki cha leo imekuwa ni fashion kwa vijana kuanza testing ya kuishi kama mke na mume then baada ya kupata mimba ndipo inapowalazimisha kufunga pingu za maisha au kuvunja uhusiano kabisa...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Kama demu wako anapenda chips mfungulie kibanda Kama demu wako anakuomba sana pesa mwambie akuvumilie bado unamtafutia kazi bank......kama......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye maisha ya uswahilini na pwani huwa kuna kashda za Pwani, kwa namna hiyo basi hapa nazungumzia Pwani kwa ujumla maneno ya waswahili wa pwani hunikosha sana na huwa kuntu tena pambee tena...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwalimu aliwaambia wanafunz wajifanye ni wanajeshi walioshirik vita ya Uganda waandke insha isiyopungua maneno 100 kuelezea Vita ilivokuwa. Wakat wa kusahisha mwalimu akakuta mwanafunz mmoja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukiona umefungua topic hii ili ujifunze namna ya kutumia vocha za mitandao ya simu iliyotuka ujue wewe ni kati ya wanaopenda vya Bure ila sema haujijui tu. So nimekusaidia ili ujijue kuwa...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
NI STORI YA KWELI ILITOKEA MIAKA YA NYUMA SANA watu walikuwa wakiangalia mwezi mwandamo kwa ajili ya mfungo wa ramadhani,vijana kwa wazee. mara mzee mmoja aliyekuwa anakaribia miaka mia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunafanya sensa ya madanguro kuanzia banana kuelekea chanika. Mwenye kujua amwagike tafadhali ili tusaidie mabadiliko ya kijamii
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Eti inamaji mengi Mpaka mashahidi wa Yehova wanaogelea!!
2 Reactions
368 Replies
80K Views
A man went for HIV test on Saturday and they told him to come back on Monday to pic his results.On sunday he went to church and the pastor was praying and said "... may the things that you'll...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Mfano, namba zako mbili za mwisho za cm zingekuwa ndo marks zako za MATH'S shule,ungepata ngapi? Usidanganye!!!! Zangu...84!! Andika zako....tuone
0 Reactions
220 Replies
36K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baba: Mwanangu mbona umeamka alfajiri kwenda shule, kulikoni? Mtoto: Baba namuwahi mwalimu wa bagia. Baba: Mjinga sana wewe, badala ya kuwahi elimu, wewe unawahi bagia? Mtoto: Baba, unajua...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna naibu waziri mmoja mwanamke kwenye serikali yetu ananivutia sana kwa swaga zake na urembo. Jina la naibu waziri huyo ni Pindi Chana. Basi miye nikajisemea: Hebu ni-google picha yake. Basi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa kiroba-Ni maamuzi magumu. Huna kitanda na unaamua kuoa-Hayo pia ni maamuzi magumu. Huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
habarini naombeni kukaribishwa Mimi mgeni humu ndani
0 Reactions
6 Replies
738 Views
Back
Top Bottom