JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo ( Dereva Bodaboda ) wa Kawe anayepaki katika Baa Maarufu ya HIPRO Kawe alipojikuta matatani na kuwa mikononi mwa JWTZ mpaka muda huu kwa Mahojiano zaidi. Ikiwa ni muda wa Saa 4 za Usiku Siku ya Jumapili akiwa amepaki Kituoni Kwao hapo HIPRO Bar Kawe alitokea Mtu Mmoja ambaye alimwomba Dereva 'Bodaboda' huyo ampelekee Barua Muhimu Getini Lugalo kilipo Chuo cha Tiba cha MCMS na amkabidhi Afande Luteni ( ninayemhifadhi ) kisha Kumkabidhi Hela ya...
Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC. Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii. Itoshe nisema hili ni pigo kubwa sana kwa M23 na kwa Rais Kagame bila kumsahau Lut Gen Kabarebe wa Rwanda. Brig Gen Sultan Emmanuel Makenga. Ni mtutsi mzaliwa na DRC Jimbo la Kivu ya Kusini. Mji mdogo wa Minembwe. Makenga ndiye punda wa M23 na CND enzi za Gen Kunda. Punda kwa maana ndiye aliyefanya kazi ngumu zote za uundaji wa CND baadae M23. Ijapokua ni Mtutsi, Makenga hakupendwa na Kagame. Mtu pekee alikuwa akimpenda Makenga jikoni Rwanda ni Gen James Kabarebe. Na sababu ikiwa Makenga alikuwa msaada mkubwa kwa Kabarebe alipokuwa akiongoza ile Operation Kitona wakati...
Back
Top Bottom