MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA.
"๐จโผ๏ธKaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.๐จโผ๏ธ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole. Anawaumiza waliompigania, anahujumu harakati, halafu anapanga kuondoka nchini kujiweka salama huku akituacha kwenye mateso. Huu siyo usaliti wa kawaidaโni usaliti wa kihaini. #FreeMdude #UsalitiMtupu #Tunaona"
๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Ameandika Maria Sarungi kwenye Ukurasa wake wa X zamani Twitter.