Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu
Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo...
Klabu ya Simba Sc leo, Septemba 16, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27.
Simba inaingia katika mchezo huo...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu,
Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi...
Hatimaye the long wait is over Rodri ndani ya uzi wa Barça.
Barça itakuwa na kiungo kikali sana kati mkata umeme Rodri pembeni akiwepo Pedri na Dani Olmo na mtoto wa Kidachi FDJ kmmk
Leo game ya...
Wakuu I salute you kinsmen
Imepita muda sasa sijaingia hapa lakini leo nimepata nafasi na sasa Acha niongelee jambo hili linalosumbua wanayanga ambalo kimsingi ni propaganda tu.
Mosi
Wakuu...
Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.
Engineer...
Hakuna siri ya kushinda Aviator — lakini kuna njia za busara za kudhibiti bankroll yako na kufurahia sessions ndefu zaidi.
Utafute "mikakati ya Aviator" na utapata kurasa mamia zinazoahidi...
EPL MATCHDAY – UCHAMBUZI & TATHMINI
Karibuni kwenye thread maalum ya English Premier League, ambapo tutakuwa tukifuatilia na kuchambua kinachoendelea ndani na nje ya uwanja.
Hapa hatutaangalia...
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo naamini TFF na Wizara wanapaswa kuyajibu waziwazi.
Jezi hizi zilifikaje hatua ya kuzinduliwa, kupromotiwa na kuanza kutangazwa rasmi kama jezi za Taifa Stars kama...
Manchester United imeendelea kudondosha pointi baada ya kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya Fulham katika Premier League, ikiwa ni mchezo wa tatu mfululizo kutopata ushindi katika michuano tofauti...
"Baadhi ya watu, ukiangalia yale ambayo tayari tumeambiwa kupitia baadhi ya vyombo vya habari barani Afrika na sehemu nyingine duniani, wanasema kwamba Rais wa CAF anapaswa kuanza kufikiria mpango...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu.
Kauli...
Hapo VIP!
Unajua yanga ni club inayoafanya maandalizi kwa kutumia mbinu nyiingi sana ,hususana akiwa Na match Na mtani wake Simba sc,yanga yupo tayari kutumia mbinu yeyote zagizani au...