AFCON 2027 LAZIMA IPIGWE TANZANIA

AFCON 2027 LAZIMA IPIGWE TANZANIA

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
783
Reaction score
695
"Baadhi ya watu, ukiangalia yale ambayo tayari tumeambiwa kupitia baadhi ya vyombo vya habari barani Afrika na sehemu nyingine duniani, wanasema kwamba Rais wa CAF anapaswa kuanza kufikiria mpango B na mpango C, na kuiondoa AFCON kutoka Tanzania, Kenya na Uganda. Hilo halitatokea" - Dkt- Patrice Motsepe, Rais wa CAF
ChatGPT Image Sep 17, 2026, 03_41_12 PM.png
 
Back
Top Bottom