Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Timu zote kubwa zinamilikiwa na wawekezaji kwa hiyo uwekezaji wao lazima uangalie faida na hasara tofauti na madrid na barcelona. Madrid,barca na wakubwa wengine ulaya wakiona mchezaji bora...
2 Reactions
7 Replies
690 Views
Fatma Karume ambaye ni Mshauri wa Kisheria wa Mwanasoka Feisal Salum ‘Feytoto’ anadai kutopendezwa na maamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF kwenye Shauri ya mteja wake na kulitaka Shirikisho...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania? Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wameshapigwa moja tayari na wanakimbizwa kinoma, ila mashabiki wa WAC wanashangilia vizuri sana. Mashabiki wa timu zetu wana la kujifunza Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
4 Replies
613 Views
Baada ya Fesal kuangukia pua tena kwenye Review ya hukumu iliyotolewa kati yake dhidi ya mwajiri wake klabu ya Young Africans sasa twende Moja kwa moja kwenye mada. Klabu ya Yanga inaendelea...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Wao wenyewe Wameshakula (Wameshafungwa) mno nasi Goli 6 kwa 0, Goli 5 kwa 0 huku hizi Goli Nne Nne (4) akiwa ameshafungwa mara nyingi tu ila Watu wa Simba SC wala Hawawehuki hovyo na Kishamba kama...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review)...
6 Reactions
309 Replies
17K Views
Fei kushindwa soka letu limeshinda! Ukubwa wa jina la Fei alioupata akiwa Yanga ungekuwa silaha ya kuuangamiza mpira wetu 🇹🇿. Kivipi? Kesi/Shauri lake kama angeshinda lingetumika kama kielelezo...
20 Reactions
20 Replies
2K Views
Mtendaji Mkuu wa Ligi Kuu ya Hispania ‘LaLiga’, Javier Tebas amesema kuwa klabu hiyo haitakiwi kufanya usajili katika dirisha kubwa mwishoni mwa msimu huu hadi watakapofanikisha kuingiza Pauni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuelekea mechi ya leo kati ya Yanga SC na Tanzania Prisons.. Msemaji wa Tanzania Prisons anena haya wakati akihojiwa na kituo kimoja cha redio:- Mtangazaji: Kuelekea mechi ya leo, je katika timu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya Fatma kutoka kwenye kikao cha review ya hukumu ya mchezaji Feisal Salum dhidi ya Waajiri wake Klabu ya Yanga, Wakili Fatuma Karume maarufu kama 'Shangazi' aliyekuwa upande wa Fei Toto...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa klabu bingwa Afrika kati ya Simba Vs Vipers SC ya Uganda mchezo utakaochezwa...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC Uzi
0 Reactions
5 Replies
779 Views
Naam, Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS. Niltegemea utekelezaji...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwema wakuu, Nimekaa nikawaza, TZS 5mil kwa kila goli naona kama ni hela ndogo sana. Kwa Serikali kama ya Mama Samia zile ni hela ndogo sana. Pengine hata zingefaa kua ni hela kwa kila mchezaji...
1 Reactions
7 Replies
778 Views
Moja kwa moja kweye maudhui: Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden amemuonya mchezaji Feisal Salum Fei Toto akikata rufaa Mahakama ya usuluhishi ya FIFA (CAS) atakuwa anapoteza muda tu...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Hilo ninauhakika. Hawana jeuri ya kusema kuwa feitoto alitakiwa afanye Nini kisheria. Nasisitiza hakuna hoja za kisheria zinazombana
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu hii review ya Fei imekaa kimkakati kuwatoa watu kwenye tension ya yule ndugu yao kutoka Zanzibar ambaye anaendelea kutrend kwenye social network.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Vp hapo wandewa Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
5 Replies
493 Views
Kijana amevurugwa kichwa, wenye hela wamemvuruga moyo, pepo la fedha nyingi za ghafla likamrukia shingoni. Hapo alipofikia Sasa hahitaji msaada wa wanasheria bali wanamaombi ili kumtoa pepo la...
8 Reactions
14 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…