Leo Simba SC, wahuni wa pale mitaa ya kati katika mitaa ya Msimbazi, watajaribu tena bahati yao kuwania nafasi ya kushiriki hatua ya Robo Fainali katika Ligi ya Club Bingwa Afrika.
Leo watakipiga...
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto...
Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah.
Baada ya kupokea maamuzi...
Inaniuma sana kuona licha ya kuwa na ligi inayotajwa kuwa miongoni mwa ligi bora afrika lakini marefa wa hapa nchini hawajapata nafasi ya kuchezesha kimataifa.
Tumekuwa na mashindano mengi hapa...
Elimu haina mwisho!
Kila jambo halitokei pasipo sababu!
Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba!
Iko aina mbali mbali ya makubaliano!
Kuna ile ya kimaandishi na...
Sakata la Feisal na klabu ya Yanga bado linaendelea katika mgogoro wa kimkataba kati ya Young Africans na mchezaji wake Feisal Salum ambaye alitaka kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu hivyo...
Swali kutoka kwa Mtangazaji Abdulrazaq Majid....
Kitenge je, ni kweli Haji Manara juzi pale alijitokeza tu na mkampa Kipaza Sauti afanye kile alichokifanya au labda ni Tukio ambalo mlilipanga na...
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga...
Mwaka 2021 majira ya joto Manchester City walipeleka ofa Tottenham ya Dola mil 100 kutaka kumnunua Kane. Tottenham wakatia ngumu kumuuza. Kane akagoma kujiunga na timu yake kwa ajili ya mazoezi ya...
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo la msingi tumenyanyua kwapa[emoji1787]nabado tuna nafasi yakunyanyua tena , man akishinda kombe hata kama ni dogo hugeuka kubwa , duniani kuna mashabaki wa man...
Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri.
“Wachezaji wa sasa ambao wanaweza...
Hivi uchawi unafanya kazi kwenye mpira?
Mimi nina mdogo wangu ana miaka 14 mwaka kesho hapo atakuwa na miaka 15. Sasa huyu mdogo wangu ni mchezaji wa mpira, anapenda mpira sana.
Na kwa bahati...
Kama Nabi ataendelea kuwepo Yanga na kutopewa timu ya Timu ya Taifa, ipo siku huyu Clement Mzize atachezea timu kubwa barani Afrika au Ulaya.
Uwepo wa Top Strikers kama Mayele na Musonda...
Kwa mara nyingine naona Bwana Fei Toto kawasilisha barua TFF ya kutaka kuvunja mkataba na Yanga. Mpaka sasa nafikiri yeye na watu wake washashtuka na kuona kuna mahala waliteleza ndio maana...
Jamaa ni kilaza wa kiwango cha SGR, nashindwa kufahamu anaendelea kupata namaba na kucheza pale Madrid, Kwa kumtegemea yeye Real Madrid wajiandae na miakaa kadhaa bila ya mataji.
Dribbling Poor...
Waarabu noma, kumng'oa Nabi Yanga. Katumbi atia mkono.
Kocha huyo amewashusha presha mashabiki wa Yanga, lakini ghafla limeibuka jambo jingine ambalo limewafanya mabosi wa klabu hiyo kuanza...
Kanuni na Sheria za Mpira huwa zinawakandamiza sana wachezaji na kuinufaisha club, mara nyingi ndio huwa hivyo.
Timu inaweza kumsajili mchezaji na asipo perfome vizuri huwa zinaweza tamatisha...
Brentford will play in the Premier league next season, it is the first time in 74 years after beating Swansea 2-0 in the Championship Play - Off final.
Huu ndio uvumilivu tunaousema miaka yote...
Kuna mashabiki wa
simba/zuwena fc wamejipa jukumu la kumtetea fei..wanajikuta wanajua mambo mengi ya timu kubwa kuliko timu yao yenye migogoro ya viongozi kila kukicha.
NAWAKUMBUSHA TU
kama...