Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu, Hongereni saaaana tumeshinda! Ila nina ushauri mdogo kwa viongozi wa Simba. Kiufundi Simba haichezi vizuri na imejaa makosa mengi sana kiulinzi na hata inaposhambulia. Ushauri muhimu...
12 Reactions
14 Replies
1K Views
Mliki frustrate wenyewe mapema sana. Mara hamtaki kuingia vyumbani mara sijui nini. Sisi wengine tuliwaeleza nyie mkatulie mcheze mpira Simba wanafungika. Tukawaambia mkawakabe watu flani...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo...
8 Reactions
55 Replies
3K Views
Haya sasa serikali ichangamkie hiyo fursa ya kujitangaza kimataifa kupitia bongo zozo USSR === Alichoandikiwa Bongozozo kutoka liverpool na ambacho amekiweka kwenye account yake ya Facebook...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni. Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na...
3 Reactions
10 Replies
899 Views
Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
"Wengine wameondoka na basi jana na huenda kwa sasa bado wako njiani kufika Mkoani Mwanza ili sisi wengine na Jitu la Mitumba tunaondoka kwa Ndege tu na tutafika kabla yao na Kesho tutakimbia...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa namna Simba walivyokuwa wanacheza mpira mbovu ambao hata timu ya Liwale haiwezi kucheza mpira mbovu namna ile, Leo Vipers wangekuwa na striker kama Manzoki au Bobosi, Simba alikuwa anaaga...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam.. Nimekaa nikajiuliza, hasa baada ya timu pendwa ya Simba Sc kuwa matokeo yasiyoridhisha kwa mechi za hivi karibuni baada, hii ni baada ya kuchapwa 0-3 na mwarabu, na jana usiku...
16 Reactions
148 Replies
8K Views
Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki. Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Feisal ni mtoto na kama angepata wakubwa yeye na mama yake walitakiwa kukalipiwa. Feisal kuishi na watu sio Zanzibar kama unavyosikia muungano na kumbuka wanaokuchochea sio watakao kusaidia...
0 Reactions
5 Replies
496 Views
Kumekua na mashabiki maandazi wakijiaminisha kuwa watamfunga vipers, hii gemu bado ni ngumu sana Kama mnavyodhani nyinyi. Nimefuatilia gemu iliyopita vipers vs simba kiufupi wachezaji wa simba...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi kwanza hujashtuka tu mara zote hizo kukimbiwa na wanasheria wako? Ulianza na wale wa Bernard Morrison. Ukaja na Shangazi Mwanasheria Mwanasiasa. Na sasa Umefika kwa Mwanasheria wa msuva...
30 Reactions
179 Replies
8K Views
Mkutano wa Waziri Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Waandishi wa Habari Kumtambulisha Kocha Mpya wa Timu ya Taifa Stars [emoji414] 07 Machi, 2023 [emoji792] 04:00 Asubuhi
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Erik ten hag wakati anapewa mikoba kuinoa man utd aliwahi nukuliwa akisema "Ninawaheshimu liverpool na manchester city lakini naweza kuona enzi zao zikiisha." lakini timu zote hizo mbili ndizo...
1 Reactions
2 Replies
563 Views
Kwa jinsi wachezaji walivyo wamechoka wengine kama inonga na sakho hawajali utoto mwingi tutarajie aibu super league. Ingekuwa na uwezekano simba wajitoe au wanachama wa simba waandike barua...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…