Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mtu yeyote atakaye bisha kuhusu kushuka kwa ubora wa simba basi sio mwana michezo bali ni shabiki maandazi. Ila tatizo ni pale watu wanapo zidisha chumvi kupita kiasi juu ya ubovu wa kikosi cha...
1 Reactions
7 Replies
660 Views
Najaribu kupitapita mitandao mbalimbali, naona kila mtu anasema Simba itatinga hatua ya robo fainali, huku wakikubali kuwa timu yao ni dhaifu lakini bado wanang'ang'ania eti watafika huko. Mimi...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mo...mmoja wa matajiri lialia wa simba kuwahi kutokea pale msimbazi. Ni very rare kupata watu wa hivyo. Si mfadhili tu bali ni mshabiki anayeumia simba ikipoteza. Yapo majungu juu yake ili akate...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, (Mb) akikabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
547 Views
A WAKATI vigogo waliowahi kuongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakifichua kwamba sakata la Feisal Salum ‘Fei Toto’ linacheleweshwa na mchezaji mwenyewe na TFF haiwezi kulimaliza bila kuwepo...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Aliondoka kwao akiwa kijana mwenye ndoto njema. Ndoto ya kutokuwa tapeli wala kibaka. Ndoto ya kucheza soka. Naamini aliondoka kwao akiwa hajaenda sana shule. Usishangae, hata wanasoka wa Ulaya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kwa hakika kwenye nchi hii we jitendee wema ujiondokee ! kifo cha Ramnik Patel maarufu kama KAKA , aliyewezesha timu ya Tukuyu Stars ya mjini Tukuyu , Wilaya ya Rungwe , mkoani Mbeya kutikisa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi! Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi...
1 Reactions
75 Replies
4K Views
Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kila nikijaribu kupiga hesabu zinakataa. Wenye kujua mtuambie inawezekana vipi Simba ikatinga hatua inafuata huko Cafcl? Maana nawaona wakimaliza nafasi waliyopo(3) hivyo wao pamoja na vibonde...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Ukiangalia ubora walionao Yanga basi utakubaliana namimi kuwa leo Hawa Real Bamako watakula goli kuanzia 4 na kuendelea. Yanga ndio inaenda kuleta furaha kwa watanzania baada ya wale vilaza wa...
3 Reactions
15 Replies
886 Views
Wananzengo na wadau wote wa Mpira ni upi utabiri wenu kwa hizi timu zetu mbili pendwa? Karibuni Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Ubahili wa Mwamedi Ndio chanzo Cha yote haya. Halafu MASHABIKI mbumbumbu wanamtupia KOCHA LAWAMA. Simba Ina wachezaji WATANO TU. Inonga, Chama, Saido, Manula, Kapombe na Shabalala . WACHEZAJI...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Naaam, huku makolo fc wakiendelea kurusha maneno na kuhangaika na feisal nakusahau kabisa tar 26 Wana mchezo muhimu Sana Tena wakicheza yope mbele ya KMC lazima watalala yooooo. Ikitokea makolo...
10 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni kweli, real Bamako (isomeke Bamakoooo) wanashika nafasi ya mwisho, ni wachanga kwenye michuano hii(kama yanga tu) ila nimewaangalia facial expressions yao tangu wanatua terminal III hadi...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa. Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Siku hizi sio mpenzi sana wa soka Tanzania. Niliwafahamu kwa kusikiliza RTD, kusoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo, na Mfanyakazi la mwandishi James Nhende aliyepigwa na Zamoyoni Mogella kwa madai ya...
23 Reactions
72 Replies
3K Views
Nimejaribu kuvaa viatu vya Feisal kwamba ningekuwa ndo Mimi yeye ningeitisha press conference nikaonba msamaha nikarudi yanga Ila Sasa ambacho ningewafanyia wangeniruhusu niondoke bure wao...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hivi simba nayo ipo kwenye michuano ambayo mamelod sundown, Zamaleki, Es Tunis, Wydad Ac wapo?
0 Reactions
8 Replies
612 Views
Uzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club. Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda. Siku ya jumaosi...
18 Reactions
138 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…