Mambo yanazidi kua matamu huku asfc,kinachosubiriwa ni mechi za ijumaa na jumamosi.
Nb-endapo makolo yatapita basi tutawaomba sana azam watuachie my wetu,na nyie madunduka mjiakaze msitolewe...
Uwezekano wa klabu ya Simba kukutana na moja ya timu zifuatazo yaani Mamelodi Sundowns, Wydad AC, na Esperance ni sawa Tu na mfungwa aliyehukumiwa kifo yaani Death row inmate ambae anasubiri...
#MICHEZO Baada ya hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika kukamilika, kocha wa Esperance de Tunis, Nabil Maalou amesema kuwa singependa kupangwa na Simba kutokana na umbali baina yao pamoja na hali...
Hakika huwa nafurahi sana vituko vya simba katika michuano ya kimataifa.
Viongozi na mashabiki wanaamini hakuna football bila ya uchawi kiukweli ushirikina ndiyo kipao mbele Cha timu.
Baadhi ya...
Young Africans yawa timu ya kwanza ku expand nchi za Africa mashariki
Rasmi Tawi la Yanga Wakali Kwanza limezinduliwa Lubumbashi, Congo na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, Makamu wa Rais Arafat...
Imagine if you, like Franck Kessie, were responsible for the winning goals in the past two Clasicos for Barcelona in your first season at the club.
You would feel like the king of the world...
Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig...
Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu.
Simba sc vs mamelodi
Pyramid vs young Africans.
Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine.
Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
Huyu mzee kila siku kuipendelea Real madrid,chuki kibao kwa barcelona na kuzusha uongo kila uchao dhidi ya barcelona
Ameipakazia barcelona ilikuwa inawalainisha waamuzi kitu ambacho ni cha...
πͺππ‘ππ‘ππππππππππππππππ
Goli la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe limechaguliwa kuwania goli bora kwenye hatua ya makundi #CAFCC
Unaweza kumpigia Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF -...
Huu ni utaratibu mzuri ambao unatumika UEFA Champios League, ambapo timu iliyoshika nafasi ya 3 kombe la UEFA Champions League hucheza play offs na timu zilizoshika nafasi ya pili kombe la Europa...
"Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari...
Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe.
Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia...
Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete.
Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania...
Chei chei!
Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi...
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa [emoji12][emoji2][emoji14][emoji28]
Tulipo wambia acheni kumlinganisha Mayele na Moses Phiri...
Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa...
Ukisikia madaraka ya kulevya kweli bwana mdogo kayaonesha.
Nimeangalia short clip videp dogo aki block mipira mazoezini isimfikie Messi kwa kuipiga nje, kila anapotaka kupasiwa Messi anawahi...
Huu ni mwanzo tu wa rekodi nyingi zitakazowekwa na Yanga msimu huu. Ndani ya msimu mmoja tu wa mashindano ya CaF, timu imepanda viwango kwa zaidi ya nafasi 47, wakati kuna timu inayojiita ina...