Yuko wapi Moses Phiri?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa

Tulipo wambia acheni kumlinganisha Mayele na Moses Phiri tulikuwa tuna sababu kubwa
Na sababu moja ni hii tuliona huyu bwana akianza kukabwa vizuri na mabeki zaidi ya wawili hatoboi kwa uchezaji wake tu ulionekana.

Mpeni sifa Mayele mpaka sasa bado ni mzima hakuna mchezaji ambaye last season na this season ambaye alikuwa anapigwa viatu na mabeki kama Fiston Mayele watu wakijaribu kukanya mnacheka eti tunataka awe anafunga kirahisi.

Phiri kapigwa gundi moja tu kapotea kwenye ramani ya game
 
Muulize Mgunda
 
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa
Kama kweli umecheka, basi ambulance likukimbize sehemu husika kwa usalama wa wanaokuzunguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom