Pongezi kwa mashabiki wa Simba

GANA BANKS

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
598
853
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.

Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
 
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga,Kudos..!!
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Hao wote uliyowataja ni haters
 
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.

Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Hao uliowataja huwa wanajitoa sana kufanyaje? Isijekuwa unamaanisha wanajitoa sana akili. Embu toa ufafanuzi mkuu
 
Binafsi naombea ikiwezekana Rivers wapate bao mbili ila ngumu sana kwa kweli!
Sijapendezwa kabisa na Yanga kufanya vizuri safari hii nisiwe mnafiki..
 
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.

Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Hao hawastahili kupongezwa. Maana huyo Genta ni Mwenyekiti wa Mapopoma wote humu jukwaani! Halafu huyo mwingine ni Katibu wake.

Sasa mapopoma ni majitu ya kuyawekea dhamana kweli! Muda wowote ule yanaweza kukugeuka, kama ulikuwa hujui.
 
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.

Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN SUNZU wanajitoa sana.
Asante Mkuu ila nashangaa mpaka sasa hii ID yako haijahusishwa na Mimi GENTAMYCINE kwani hapa JamiiForums akitokea tu Member akanisifia haraka sana Watu hujitokeza na kudai Yeye ndiyo Mimi ila zile IDs za Kunichafua, Kunitukana na Kunidhalilisha huwa hazihusishwi na Mimi.
 
Back
Top Bottom