Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nasemaaaje mpira kidogo magoli mengi kula bomu 💥 Kula bunduki ya kiarabu twiu twiuu
2 Reactions
7 Replies
460 Views
Tutegemee kuona habari Kama hiyo baada ya yanga kutinga fainali kutoka kwa wachambuzi nzala/wachambuzi wa mchongo wanaolipwa na Simba sc ili wawatie Moyo mashabiki. Mwanzo tulikua hatusikii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnyama Simba SC amepoteza fainali ya kombe la dunia kwa klabu zenye ushawishi mkubwa kwenye mtandao wa Twitter kwa mwaka 2023 dhidi ya wababe wa krikeri kutoka India, RC Bangalore kwa 54% dhidi ya...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Mfano Madrid wanamtaka Jude Bellingham basi wamwambie ingia mitini halafu ukiwa ukiwa mitini nenda kwenye Shirikisho la Mpira Ujeruman uwaambie wavunje mkataba wake na Dortmund sababu huipendi na...
11 Reactions
178 Replies
8K Views
Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Karibu kwa updates za moja kwa moja kutoka uwanja wa Hayati Benjamin William Mkapa.🏟 Mpira utaanza saa moja kamili usiku, saa za Afrika Mashariki. Karibu. 00 refa anaanzisha mpira kwa kupuliza...
8 Reactions
863 Replies
49K Views
Wydad Casablanca ambayo inatarajiwa kumenyana na Mamelodi Sundowns katika hatua ya semi final ya ligi ya mabingwa afrika imemfukuza kazi kocha wake mhispania Juan Carlos. Kazi ya ukocha amepewa...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya interview ya Cristiano Ronaldo na Piers Morgan Man united wakaamua kusitisha mkataba na Ronaldo haraka sana. Ni man united ndio walishinikiza mkataba uvunjwe kwa makubaliano kutokana na...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa...
28 Reactions
42 Replies
6K Views
Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
1 Reactions
5 Replies
989 Views
Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga SC si kwamba imefuzu tu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, bali imeongoza katika vitu vingi kwenye michuano ya CAFCC mwaka huu. Yanga SC ambayo imetinga nusu...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na...
10 Reactions
63 Replies
5K Views
Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFF
9 Reactions
75 Replies
5K Views
Klabu ya Paris Saint-Germain imeripotiwa kumsimamisha mshambuliaji Lionel Messi kwa wiki mbili bila mshahara baada ya Nyota huyo raia ya Argentina kukwepa mazoezi ya klabu hiyo na kukwea pipa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nadhani Wakati umefika sasa wa TFF kupeleka Jina CAF la timu itakayoshinda AZAM CUP iiwakilishe NCHI kombe la Mabingwa CHAMPIONS CUP na Timu itakayokuwa Bingwa wa LIGI KUU iwakilishe KOMBE la...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakuu, Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki...
9 Reactions
112 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…