Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kumbe wanalibeza buuuree, jionee mwenyewe! Source: Wikipedia
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home. Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Kumezuka kelele nyingi sana huko katika mitandao ya kijamii,kwenye madaladala,vituo vya mabasi,maofisini na vijiwe vya kahawa Kukiwa na makundi mawili ya washabiki wa simba sc Kundi la kwanza...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Mafanikio ya Yanga Mwaka huu hasa katika mashindano ya kimataifa yamedhihirisha jinsi wana habari wengi walivyo mashabiki wa Simba hadi wanashindwa kuficha hisia zao, chuki na wivu kwa mafanikio...
1 Reactions
4 Replies
704 Views
Salute Wana JF.. Ama baada ya salamu twende kwenye mada moja Kwa moja Leo TFF imetoa baadhi ya majina na categories ambazo wachezaji watawania tuzo mbalimbali kutokana na viwango walivovionesha...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Summary Salamu za China zimetolewa na Balozi wao wa nchini Tanzania Chen Mingjian kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwapongeza Yanga kwa kufika hatua hiyo ya kihistoria. YANGA imeendelea kupokea...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba. Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
Arsenal ni timu iliyo undwa kwa ajili ya kuzalisha vipaji ili timu za wakubwa (mfano man united, man city, liverpool nk) ziwanunue na kuwatumia kupata makombe!! Refer van parsie ambaye kama sio...
2 Reactions
11 Replies
627 Views
timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali. timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali...
1 Reactions
3 Replies
985 Views
Wakuu habari ya leo! Nawaomba wale tuliombeza Kocha bora kwasasa ulimwenguni kutoka Man City, Pep Guardiola kuwa atachemsha vibaya ndani ya ligi ngumu ya EPL tukutane hapa. Baada ya mechi 11 za...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwenye Majibu atusaidie . Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
580 Views
Mayele Vs Peter Shalulile Stats . Dstv PL 🇳🇦 Peter Shalulie mabao 12 NBC PL 🇨🇩Fiston Mayele mabao 16 🇳🇦Shalulile CCL mabao 5 🇨🇩Fiston Mayele CAFCC mabao 6 So far Hawa ndio...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya...
6 Reactions
121 Replies
14K Views
Kamati imeutukana mpira wa miguu😀! Khalid Aucho ndie anaamua Yanga icheze vipi, kwa kasi ipi na mwelekeo gani! Bahati mbaya wamemchinjia baharini, alipaswa kuwemo kwenye orodha ya Kiungo Bora.
0 Reactions
5 Replies
558 Views
Leo TFF imetoa orodha ya Wachezaji na Walimu wanaowania tuzo mbalimbali za Ubora Kwa msimu wa 2022/2023. Ni Jambo jema linaloleta motisha Kwa Wachezaji na Walimu kuonyesha jinsi kujitoa kwao...
1 Reactions
9 Replies
853 Views
YANGA imeendelea kupokea salamu za pongezi ambapo China nayo imetoa pongezi zake kufuatia timu hiyo kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Salamu za China zimetolewa na Balozi wao wa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa Rasmi nimeamua kumvua Feisal Salum jina la ZANZIBAR FINEST na kumpatia jina hili kijana mdogo anayepiga kazi kubwa mno na kuibeba Zanzibar kwenye mabega yake na siyo mwingine Bali ni Ibrahimu...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Nawaona washabiki wa Simba wanalia na usajili, Sasa hata kama Mo akitoa Hela hao best players mtawatoa wapi, maana timu mbili tu ndo Zina wachezaji Wazuri na wanaowafaa yaani yanga na Mamelodi, na...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu, hata historia ya nchi yetu utakutwa inaandikwa kwa maslahi hivi ya upande fulani. Soma nukuu hii na imetokea mwaka huu tu lakini pana kikundi kinataka kutuaminisha kuwa waondo wa mwanzo...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…