Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Timu zitakazochukua ubingwa mashindano ya CAF 2023 1. CAF confederation cup USM ALGER Bingwa atamfunga YANGA fainali. 2. CAF champions league AL AHLY Bingwa atamfunga MAMELODI fainali.
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi...
34 Reactions
88 Replies
6K Views
Kocha nabi ndo mtu anaeshinikiza kwa nguvu zote kutokuondoka kwa Feisal, anajua uwezo wa Fei na anajua umuhimubwake ndani ya kikosi na anajua hakuna mchezaji anaefikia nusu ya uwezo wa fei kwa...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
USM Alger hawana mpira wa kuwafunga yanga Nimecheki game Yao Leo na asec mimosa Nafikiri asec mimosa wangekuwa Na washambuluaji wenye speed kama fiston mayele , kisinda Na wengine basi Hawa...
9 Reactions
30 Replies
5K Views
Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
0 Reactions
5 Replies
566 Views
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na...
13 Reactions
51 Replies
3K Views
Caf confederation cup ni michuano ya wachovu!! Hata timu iliyotolewa mapema tu uko caf champions league, lakini akirudi kwa wachovu anafika fainali!!
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za weekend wadau wa soka na mashabiki wa mpira Tanzania pamoja na East Africa kwa ujumla. Yakiwa yamebaki masaa machache kabla ya mchezo wa final ya kwanza ya Caf confederation cup pale...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau Nilikuwa napendekezo kwa shirikisho la mpira Afrika (CAF), mashindano yajayo kwenye Champions na Federation, timu zishinde kwa juhudi zake bila kuongezewa GOLI zinapoenda ugenini. Na...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
USMA walijiandaa zaidi ndani na nje ya uwanja kuikabili YANGA SC, ila YANGA SC wao mbali na kujiandaa kumkabili mwarabu, pia waliweka jitihada zao za ziada kumkomoa SIMBA SC. Kwa mantiki hii...
2 Reactions
10 Replies
917 Views
Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini. Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais...
1 Reactions
6 Replies
933 Views
Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu...
5 Reactions
4 Replies
686 Views
Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria. Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Matumaini yangu ya Yanga kuchukua ubingwa yameshuka mpaka asilimia ishirini (20). Kiufupi wachezaji wamecheza chini ya kiwango hata MORALI usoni mwao ilikua ndogo kabisa. Ukitazama goli la pili...
9 Reactions
97 Replies
6K Views
Nimeona post za wachambuzi ushabiki wanaochambua mpira kwa hasira baada ya kuona Yanga imepoteza mbele ya mwarabu (USM ALGER) kwa magoli ya mbili kwa moja. Kila mchambuzi anatupa mzigo wa lawama...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Kuna mtu kanidokeza kuhusu huu mpango wa mechi ya Yanga na USM Alger Mpira wa Africa hata uwe na Quality Players lazima ucheze na mechi nje ya uwanja ili utwae mataji . Quality Players +Mbinu...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Nimefanya utafiti games 3 alizocheza Yanga mvua ikinyesha 2 kapigwa! Yanga vs Simba nk Je ni wakati sahihi kuamini Yanga mvua ndiyo ulozi mkubwa kwao!
1 Reactions
9 Replies
880 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…