Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Golini Caique Santos, kulia Kapombe, kushoto Tshabalala, Nne Inonga, kitasa Che Malone, Six Fabrice Ngoma, Winga Kramo, winga Onana, Nane Triple C, Tisa Baleke Kumi Ntibazonkiza au Phiri...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Klabu ya Algeria HB Chelghoum LaΓ―d πŸ‡©πŸ‡Ώ imeweka Rekodi mbili za dunia baada ya kumaliza msimu wakivuna alama 4 tu katika mechi 30. Pia Wameweka rekodi ya kucheza mechi zote 30 za ligi bila kupata...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Hebu tuulizane vizuri wadau wa michezo, maana hii midoli toka itambulishwe pale Msimbazi furaha kwa Wanamsimbazi ilipotea na huzuni aliingia, wakavimba kabisa. Swali ni moja tu, nani alitoa wazo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Wakati Simba wakiwa kwenye harakati za kufanya uzinduzi wa Jezi yao kwenye Kilele cha Mlima KILIMANJARO na kujiwekea Historia na Rekodi nchini Tanzania na hata barani Afrika kama siyo Duniani...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mchezaji wa Zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza, na Klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza, Dele Ali amefunguka kuhusu maisha ya majuto aliyopitia huko nyuma. Baadhi ya mambo...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi! Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu! Nimesikia leo toka viongozi wa Simba kuwa wanaenda kuzindua Jessey zao Mlima kilimanjaro! Well, mpaka sasa sijaona logic behind hii decision zaidi ya kuona ni kukurupuka baada ya...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Mchezaji wa Kimataifa wa Senegal na Timu ya Simba Pape Ousmane Sakho amewasilisha maombi kwenye Uongozi wa timu ya Simba ya kuomba kuondoka ili akatafute changamoto nje ya nchi. Ousmane Sakho...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua...
12 Reactions
52 Replies
8K Views
π™†π˜Όπ™•π™„ π™‰π˜Ό π™Žπ˜Όπ™‡π˜Ό πŸ™πŸΏ Nyota wa Klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomes πŸ‡§πŸ‡· amekuwa akitumia mda huu wa Likizo kutoa mafundisho/mahubiri ya kidini kwenye mikutano mbalimbali ya kidini huko kwao Brazil...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Mzaramo Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe alichezea kichapo kutoka kwa bondia wa Congo, Erick Katompa, ilionekana hajakubali hivyo leo anaingia tena ulingoni. Oktoba 1, 2021 ndani ya...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kila ukifatilia usajili wa wenzetu wa jangwani unaona wamesajili mabeki, mara Fred kutoka Uganda na sasa hivi beki kutoka Asec, hiyo ni kutokana na mawinga hatari waliopo Simba ss hv akiwemo Louis...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewatunuku vyeti wahitimu 106 wa Stashahada katika Chuo Cha Michezo Malya kilichopo wilayani Kwimba Mwanza leo Julai 15, 2023...
1 Reactions
2 Replies
983 Views
Timu ya soka ya Yanga ukiikaribisha Klabuni kwako hawana haraka ya kuondoka, wao ni wakarimu sana utakumbuka waliwahi kupiga hodi AS VITA ya Congo na baada ya kukaribishwa waliacha simulizi yao...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
#MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026. Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na Morocco Zambia, Congo...
5 Reactions
28 Replies
7K Views
Tunaomba mkome, mkome tena mkomae! Hatutaki kusikia Simba inatumika kutangaza utalii! Kama ni sababu ya kupeleka jezi mlima Kilimanjaro basi iwe ni ili Africa nzima waione, sababu mlima...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
USAJILI BORA MPAKA SASA Dirisha halijafungwa bado lipo wazi ila mapaka muda huu sajili zote zilizofanyika hapa nchini kwenye klabu zote, bila kupepesa macho, bila unafki huu kwangu ndo usajili...
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ajiunga na Timu ya Soka ya Coastal Union ya Tanga. Pamoja na kutokuwa na misimu mizuri kwa timu mbalimbali alizohudumu nchini lakini bado Kocha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Aliyekuwa Kocha wa timu ya Yanga NABI amesema kuwa yeye hajasaini mkataba wa kuitumikia timu ya AS FAR RABAT kama Kocha mkuu. Lakini kwa inavyoonekana ni kuwa mazungumzo yamefikia pazuri kwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…