Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wakuu, Kwanza naomba nitangulize pongezi zangu moja kwa moja kwenye bodi ya usajili simba kwa kusajili wachezaji wa level za juu kabisa na waliokomaa kwenye michuano na ligi kubwa barani...
4 Reactions
4 Replies
818 Views
Wakuu, Hizi timu zinaendeshwa kihuni sana sometimes! Wakati sisi Simba pamoja na raha tulizopata kwa usajili first class lakini tusisahau swala la ujenzi wa uwanja Bunju ni kama limekufa na...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Kesho nawaombea kwa Mungu mshinde, na sisi wananchi tupo kimya, tuwaache wengine wao watambe sisi tusubiri matokeo tu.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mayele ana miss " Njaa" . N jaa ya kutaka kufun ga magoli mengi ndani ya mechi moja. Mayele akifunga goli moja kwenye mechi huwa anaridhika kabisa na huwa haonekani kama...
6 Reactions
53 Replies
7K Views
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Clatous Chota Chama, ataukosa mchezo wa ufunguzi wa michuano mifupi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, kutokana na kufungiwa michezo mitatu...
8 Reactions
10 Replies
3K Views
Privaldinho: Simba day bila taji lolote ni Zindiko Wakati tuluiwa kwenye maandalizi heavyweight ya siku ya Simba day Kuna kauli kadhaa zimetolewa 1. Tamasha bila kombe ni kitchen party 2...
4 Reactions
56 Replies
3K Views
Waliojinunulia tiketi kwa hela Yao walibaki nje ya uwanja na wenye tiketi za boss walikuwa ndani ya uwanja. Kuna swali tena hapo?
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi. Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Uongozi wa timu ya Soka ya Simba mapema leo wamekutana na wajumbe kutoka AFRICAN FOOTBALL LEAGUE kwa ajili ya kujadili sherehe za Ufunguzi wa Michuano ya African Football League mwezi October 2023...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwanini uendelee kubaki nae wakati msimu haujaanza bro? Hivi kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya...
18 Reactions
54 Replies
4K Views
Wewe ni mbrazil, umewaangusha wabrazil wenzako, jana ilikuwa Simba day, siku ambayo tulipaswa kuona wachezaji wapya bila kujali matokeo, haukuwa mchezo wa ushindani kusema unatafuta points au...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
GENTAMYCINE sijashangaa sana kwa hili la Ali Kiba ( mwana Yanga SC lia lia kwa 100% ) kuhamia Simba SC kwani kama Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu ni mwana Yanga SC lia lia, Msemaji wa...
25 Reactions
61 Replies
7K Views
Poleni na heka heka za weekend. Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023. Kesho sijui...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakati maelfu ya Watanzania kutoka kila pembe ya nchi wakiacha shughuli zao na kuelekea Lupaso kushuhudia ‘Wenye Nchi,’ Klabu ya Simba ikiukaribisha msimu mpya kwa tamasha lililofana, kikosi cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Samia ameagiza kibegi Cha Simba kishushwe kama kiliachwa huko ili kuepuka kuwakanganya watalii. Tusilete utani kwenye njia zetu kuu za uchumi. Watalii hawataelewa kukuta kibegi huko kileleni.
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nani hamjui Inonga, nani hamjui kapombe, nani hamjui all Salim, nani hamjui Kanoute, nani hamjui Kibu, nani hamjui mwamba wa Lusaka, nani hamjui Bocco, nani hamjui Mzamiru, nani Tshabalala, nani...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa ikiwa ni miezi 7 tangu aliposajiliwa akitokea Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 12, sababu ikitajwa ni mambo kutomuendea vizuri. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 31...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Timu ya ya wanawake ya Ufaransa inaelekea kuja kuwa tishio kubwa kwa marekani, kwani watoto hao nililiwaona wana ball controll ya hali ya juu sana. Ingawa wachina wamefungwa na ujerumani, ni...
5 Reactions
94 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…