Asilimia kubwa ya Mashabiki wa Simba wamekuwa na Mihemko ya kukosoa na kuona kila kitu kinachofanywa na uongozi ni kibaya,hivyo wao kila kitu ni kulalamika tu,wakijazwa upepo na mashabiki wa...
SISEMI KWA UBAYA, nauliza tu.
Kuna picha zinazotrend: wachezaji wa Senegal wakiwa na mama zao wameshika bendera.
Haitoshi, hadi tuzo ya Ballon d’Or, Hakimi kaenda na mama yake.
Hata Dembélé yuko...
Yanga kipindi cha kwanza ukitoa dakika chache za mwanzo walikuwa vizuri sana wamecheza mpira mzuri sana.
Israh alizembea kuruka inatakiwa wampe adabu ya kufua jezi , mafarao wanapata bao kutokana...
Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko...
Katika Hali isiyokua ya kawaida baada ya mbinu zao chafu kufeli ama ushindi wa mezani kufeli, Sasa hasira zao wanazimalizia kwa mashabiki na wageni waliokuja ama walikuepo nchini humo kwa ajili ya...
Match Day
Al Ahly vs Young Africans
🏆 CAF Champions League
📆 23rd January, 2026
🏟️ Borg El Arab
🕰️ 🇪🇬 6pm | 🇹🇿 7:00pm
#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja...
Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal.
Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
Wakuu habari zenu?
Baada ya kuona mambo magumu round ya kwanza wameamua kuja na bahasha maana mashabiki wake wanapiga kelele sana yaani timu kufungwa mechi mbili tu na bado inaongoza ligi...
Dunia nzima imekiri AFCON imepiga hatua kubwa sana. Mbali na soka zuri, Morroco imeweka alama kwenye maandalizi, miundombinu ya soka na nje.
Tazama yale madude, uwanja mkali. Chek picha za nje...
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha...
Kuna watu wa soka wanaamini Brahim Diaz aliamua kujikosesha makusudi ile penati ili kuwarudisha mchezoni Senegal na isionekane kama wamefanyiwa hujuma.
Mimi nakataa, Diaz kakosa kiuhalisia...
Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani.
Ila kwa utafiti wangu kidogo...