Wale mnaobeti Mechi ya Kigoma leo wekeni katika Sare ya Magoli au isiyo na Magoli (Suluhu) au Simba SC inafungwa na Mashujaa FC. Kuna Watu wanadhani kwakuwa Kocha Julio ni Mwanetu basi...
Yap Yap ni Leo, Mei 14 2026 Simba ndani ya Msitu mzito wa Sokwe Aina ya Mashujaa FC,
Mashujaa wamejiapiza kuikaanga Simba siku ya leo huku Simba wakiweka wazi kuwa kilichowapeleka Kigoma ni alama...
Siku zingine muwe mnakosoa kabla ya Mechi kuchezwa na siyo kusubiria Vipigo ndipo mje Kukosoa ili kutafuta Sifa na kujifanya mnayajua mengi yanayoendelea.
Kufa ni kufa tu. Mlipeni Mganga wenu!!!!!
Kuna wakati kulikuwa na ubishi nani mkali kati ya dogo Sisko(jini) na Ronaldo (mwanasayansi) kiukweli kwa kipindi kile angalau angalau angefurukuta ila alikuwa kila akiwekewa dau acheze naye...
Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na...
Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo.
Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli.
Hivi timu kubwa...
Yanga kama ilivyo bibi yake CCM imehodhi wasanii wote wanaowika Tanzania. Hakuna haja ya Simba kupapatikia hawa wasanii wanaokuzwa na kulelewa katika misingi ya kisiasa.
Simba huwa inaanza...
Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika...
Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri.
Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku...
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia
Mechi bado ipo live
Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya...