Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Refaaaa katunyima mda wetu wore mmeona ...tulijua mlandege wametayarishwa kupewa kombe.... ....tumejitahidi bahati haikuwa yetu...... ....mashabiki mtusubiri bandarini kupokea washindi wa...
0 Reactions
1 Replies
567 Views
Yaan best final ever ya mlandege Mwingine akamjibu zile dk mlizokuwa mkiongezewa kwa wenzenu leo wamezipunguza muwe wapole...Tuliwasubiria final Shirikisho la znz lina akili sanaa baada ya kuona...
1 Reactions
5 Replies
602 Views
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna. Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Club ya Yanga imemtoa mshambiliaji wake Kwa mkopo kwenda coast union ya Tanga Hadi mwisho wa msimu Hii itakuwa ndio kuagana mazima. Ngushi akijirekebisha makosa yake madogo madogo Bado ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari Wanamichezo, Mechi za Afcon zinaanza saa ngapi na ni azam sport ngapi?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sandaland ndio inayoivalisha timu ya taifa. Wachezaji wetu ni vijana wenye akili timamu wanajua ni Brands zipi duniani zinatengeneza jezi Bora (prestigeous) na zipi zinatengeneza jezi hafifu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Vipi dirisha hili hasajiliwi? Atasajiliwa lini jaman mgeni rasmi huyu na mwenye hotuba nzuri?
1 Reactions
9 Replies
578 Views
Hii imenishangaza sana katika huu mpira wetu (kivyetuvyetu). Na ndiyo maana Hawa wachezaji huwa Wanakuja kuivimbia timu na kujiona wao ni muhimu sana haiwezekani mchezaji kikosi kimetoka hata subs...
17 Reactions
96 Replies
8K Views
Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brand zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyu ramadhani Mbwaduke ni moja kati ya wachambuzi waliojipatia sifa katika uchambuzi hasa eneo la takwimu. Mchambuzi huyu ni mzuri lakini ana mapungufu makubwa mno, kwanza hataki kabisa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao Tunasajili magasa tu?
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars...
9 Reactions
127 Replies
25K Views
Katika watu wenye imani na matarajio makubwa na Stars basi am one of them yaan full confidence, wachezaji wetu wanajiamini, wamepata maandalizi ya kutosha sana, isitoshe wachezaji wa kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Embu angalieni clip hii. Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na...
8 Reactions
39 Replies
21K Views
Mfahamu Kocha anayechukua Mshahara Mrefu kuliko wote kwenye mashindano ya Afcon Msimu huu, Djamel Belmadi wa Algeria analipwa mshahara wa Euro 208,000/= kwa mwezi sawa na milioni 570 za...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara na Kombe la ASFC, Yanga wanaweza kukumbana na rungu la kufungiwa kusajili katika madirisha matatu ya usajili ikiwa ni pamoja na kuondolewa msimu ujao kwenye michuano ya...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Nimesikitishwa na hili jambo kwa kweli viongozi wa Yanga mnaonyesha madhaifu makubwa hili deni linaelekea kutupa adhabu kutoka FIFA. Adhabu ambayo itatuondoa kwenye dira yetu na kutufanya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Kamati ya waamuzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), imesema kuwa Mwamuzi Nasri Salum hakustahili kuipa Simba kona iliyoifanya ipate bao la kusawazisha, katika mechi ya nusu fainali...
6 Reactions
126 Replies
24K Views
Kiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…