Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

nimesikitika kuona Yanga sc kufungiwa kusajili kwa sababu ya kutomlipa pesa aliyekua mchezaji wa Yanga sc LAZARO kAMBOLE , kwa maelezo niliyoyapata ni kuwa FIFA waliiandikia barua YANGA mapema tu...
4 Reactions
74 Replies
3K Views
Mabingwa wa nchi Young Africans leo wanashuka dimbani kumenyana na Tabora United katika hatua ya robo fainali ya michuano ya CRDB Bank Federation cup. Mchezo huu utapigwa katika dimba la chamazi...
18 Reactions
323 Replies
19K Views
Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza...
2 Reactions
6 Replies
662 Views
Shirika la Kupambana na Dawa za Kulevya Duniani limethibitisha kuwa Tunisia haizingatii Kanuni za Dunia za Kupambana na Dawa za Kulevya na kuiwekea nchi hiyo vikwazo. Sundowns inasubiri tangazo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027, Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo...
3 Reactions
10 Replies
803 Views
Ni aibu kwa TFF kuwa sehemu ya uharamia wa soka Tanzania.... Patrick Nyembera alimhoji Fiston Mayele akiwa kwenye kambi ya Simba Cairo, Nyembera ni mnazi wa simba inajulikana Mayele anawakilishwa...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiacha viwanja vikubwa vinavyojulikana kama Mkapa Stadium na Azam Complex, Kwakweli huu uwanja wa Majaliwa licha ya kuwa mkoani lakini una muonekano mzuri sana na standard hususan kwa vilabu...
1 Reactions
7 Replies
886 Views
Kila mtu anamuimba Kennedy Juma kama vile yeye ndiyo wa kwanza kukosea, wanasimba hawapaswi kurusha lawama kwa wachezaji bali wanapaswa kujiuliza kwa nini CHAMA, SAIDOO,MIKSON NK hawakucheza na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote...
1 Reactions
3 Replies
603 Views
Hizi familia zina nini. Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem. Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
13 Reactions
17 Replies
1K Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
8 Reactions
321 Replies
21K Views
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano...
2 Reactions
7 Replies
689 Views
Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Hapo vip, Nimejiuliza maswali sana kuhusiana na hizi kelele za yanga dhidi ya Simba sc, kuweka mabango na kalele.za kufika robo fainali club bingwa. Majibu ni kwamba yanga ni zee ambalo halina...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii inatokana na kurudia makosa mara kwa maranya kujifunga. Huyo jamaa ni mamluki na ni YANGA lialia
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom