Wale wale wahuni waliopo nje ya mfumo wa Simba wanampandisha mabega Kibu ili wale 10%

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
470
1,873
Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza usanii, utapeli, hadaa na wizi waziwazi.

Wao ndio walimleta Kibu ndani ya Simba na kwa vile Kibu ameuwasha ksawa sawa na kiukweli yuko on fire wamekaa naye na kumwambia wewe ni hela, usikubali kusaini kizembe, umri haukusubiri we usisaini tusubirie sie tutakuongoza, hapa lazima tutoboe.

Wamempandisha Kibu thamani na kudai anatakiwa Yanga au Azam, halaf waandishi wale wale wanaotumiwa ndio wameanzisha dili.

Ndio maana Mhindi anaingia na kutoka.
 
🤣🤣🤣🤣! Hata wewe Mkuu huoni umri unakimbia? Lazima uandae mazingira ya kesho!
 
Kibu na Yanga wapi na wapi, hata azam kibu hawezi kuanza!! Kibu akitoka Simba labda aende ihefu huko, naona wazee wameanzisha propaganda ili wamuongeze mkataba Wala sio hata Kuna timu inamtaka
 
Lile kundi la wahuni ambalo liko nje ya mfumo ndani ya klabu ya mnyama ambalo limesababisha uongozi ushindwe kufikia malengo kwa kuharibu mipango na mikakati yote ya uongozi wa Simba limeanza usanii, utapeli, hadaa na wizi waziwazi.

Wao ndio walimleta Kibu ndani ya Simba na kwa vile Kibu ameuwasha ksawa sawa na kiukweli yuko on fire wamekaa naye na kumwambia wewe ni hela, usikubali kusaini kizembe, umri haukusubiri we usisaini tusubirie sie tutakuongoza, hapa lazima tutoboe.

Wamempandisha Kibu thamani na kudai anatakiwa Yanga au Azam, halaf waandishi wale wale wanaotumiwa ndio wameanzisha dili.

Ndio maana Mhindi anaingia na kutoka.
Kibu D sio mchezaji wa kuiringia Simba, atapotea akiondoka hapo ni mchezaji wa kawaida tu kama Ambundo.
 
Back
Top Bottom